Nifundisheni jinsi ya kuandika Risala na Wasifu wa marehemu

Qaymo moja

Senior Member
Sep 1, 2017
133
53
Naomba kupewa ushirikiano hapa.

Naona style mpya ambayo risala na wasifu wa marehemu huandikwa na kusomwa mbele ya umma msibani tofauti na tulivyozoea.

Hili nimeliona ndani ya kanisa Katoliki walivyonilazimisha kuandika upya kwa ile risala niliyoandaa ya siku zote. Wao wameniambia nifute neno marehemu katika risala mwanzo mwisho.

Wajuzi wa lugha mje hapa.

By mtafuta ukweli.
 
Naomba kupewa ushirikiano hapa naona style mpya ambayo risala na wasifu wa marehemu huandikwa na kusomwa mbele ya umma msibani tofauti na tulivyozoea kwa hili nimeliona ndani ya kanisa Katoliki walivyonilazimisha kuandikwa upya kwa ile risala niliyoandaa ya siku zote .
Wao wameniambia nifute neno marehemu ktk risala mwanzo mwisho
Wajuzi wa lugha mje hapa


By mtafuta ukweli
ufute neno marehemu uandike lipi mbadala
 
Nilishawahi kuandika risala ya marehemu na nikatumia neno Marehemu. Hapo kwenye ndugu badala ya marehemu nahisi inapendeza maana inasaidia kupunguza machungu kwa kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom