zigii
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 516
- 210
Ninasikitika sana mtanzania kumcheka mtanzania mwenzake eti hajui kiingereza huku akijua fika kiingereza nchini ni marufuku mpango huu upo kwa makusudi ili mtanzania asiwe na uelewa mpana wa elimu kiingereza kimebaki kwa watoto wa maboss tu kwa kuwa wao hupeleka watoto wao katika shule za level ya juu kwa ajili ya kupata ajira takatifu
Mtoto wa Tanzania aliemaliza chuo kikuu hapa hawezi kuongea kiingereza labda apate scholership nje sasa kama hii tunaijua kwa nini umcheke mwenzio mbona wakenya hamuwacheki kwa kutojua kiswahili? Imefikia wakati sasa tuihamasisha serekali ianzishe kiingereza kama lugha ya kufundishia kuepuka aibu kwa watoto wetu wa baadae imefikia mahala hutaki kukutana na mzungu ni aibu sana
Ushauri wangu tujilazimishe kuongea na wazungu hata kama tutakosea mbona wao wanalazimisha kiswahili hawaogopi kuchekwa?