Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Certificate 2. Diploma 3. Degree 4. Post graduate 5. Masters 6. Phd Asante!
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Ninakumbuka hivi karibuni nilileta uzi wa kutaka kujuzwa njia rahisi ya kuweza kuzungumza lugha ya kingereza baada ya wadau kuchangia uzi huo miongoni mwao walishauri kwamba ni lazima kuweza...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari GTs, Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa. AHSANTENI
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Salaam wana JF Hivi kiswahili chetu kinaelekea wapi? Naona kadri siku zinavyozidi kwenda inaibuka misamiati ya ajabu ajabu hasa kwenye upande wa kiswahili cha kuandikwa Kuna hili neno "MUDA"...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Wenye kufahamu maana ya neno Kaunti ambalo linatumika sana nchini kenya mnijuzi tafadhal
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari za hapa wana jukwaa la lugha wote. Naombeni mnijuze chuo kizuri hapa Arusha kinachofundisha lugha ya kihispania. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huwa na tamani sana kuona vijana wakionyesha waledi wao katika kutambua herufi za Maneno magumu/ vocabularies kwa lugha ya kizungu. Spelling Bee kwa wenzetu imewasaidia vijana wadogo kuweza...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
1)Mabadiliko ni mimi,wewe sisi na wao Mabadiliko si ndimi,ulimi sema vya kwao Mabadiliko si ngumi,na kupigana na wao Vijana youthi asembli,chanzo cha mabadiliko. 2)Vijana ndo nguvu kazi,kijana so...
1 Reactions
4 Replies
888 Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba kufahamishwa tofauti ya maneno haya mawili, Mwambao na Pwani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nini maana ya maneno haya wakuu Mgaagaa na upwa hali wali mkavu Yaliyopita si ndwele tugange yajayo Nini maana ya ndwele na upwa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu napenda kuuliza kama kuna utofauti wa kimaana kati ya script (katika filamu) na screenplay au ni vitu vinavyofanana? Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nisaidie wakuu tofauti ya hayo maneno maana yananichanganya
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akisafiri mzaramo kaenda ngomani ila akisafiri mchaga kaenda kusalimia wazee.NOTED. Picha haihusiani na msemo huo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi naomba kujua SAMAKI MDOGO kwa kiingereza anaitwaje? Watu wa ngeli twende sawa hpo tafadhali[emoji56]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati nipo advance riwaya zangu tamu za muda wote zilikua ni île ya vuta n'kuvute ya shafih adam shafih na île ya usiku utakapo kwisha ya mbunda msokile, vilevile cwezi kuiweka kando riwaya ya f...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wapendwa, Nahitaji kujua neno sahihi kwa nafasi iliyoachwa wazi katika sentensi ifuatayo ni lipi! "Ukimya wako..................utakaokuponza" (ndio, ndiyo) Je neno sahihi hapo ni ndio...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi ni sahihi kwa kiongozi yeyote yule kupotosha lugha? Au ndo anaikuza labda tuambiwe...mara "nawafanzia" kazi, mara "kubomoleshwa", hii misamiati iko kwenye kamusi ya TUKI?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BINTI SISO 1)Ukweli toka moyoni,kuvumilia siwezi Ameingia rohoni,kanifanya kuwa chizi Ila shida masikini,ngemfata mpaka Swazi Huyu binti binti Siso,Kumwambia natamani. 2)Kumwambia natamani,nataka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Zawadi Lupelo Wanajamvi salamu kwanza! Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna...
31 Reactions
298 Replies
60K Views
Sikuwahi kufahamu kuwa katika kiswahili kuna neno linaitwa mubashara, likimaanisha "matangazo ya moja kwa moja yaani live". Jana kwa mara ya kwanza nilivyoona hilo neno chini ya nembo ya ITV...
13 Reactions
261 Replies
69K Views
Back
Top Bottom