Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

bamia -ladyfinger au oats km sikosei

mchicha nishasahu ila biologiocal name nakumbuka form 1 amaranther
 
Duh mi nalima tu ila sivijui kwa kiingereza sasa juzi kati hapa wazungu wmenitoa jasho ndiyo nikasema kuna umuhimu wa kuvijua
 
Back
Top Bottom