Baraka Kasinge Member Apr 4, 2016 24 15 Sep 22, 2017 #1 Wana lugha naombeni tofauti kati ya maneno hayo na miktadha yake?
MOI JOHN JF-Expert Member Aug 15, 2013 1,736 1,078 Sep 22, 2017 #2 Mhadhiri ni mwalimu wa Chuo Kikuu.
Baraka Kasinge Member Apr 4, 2016 24 15 Sep 22, 2017 Thread starter #3 MOI JOHN said: Mhadhiri ni mwalimu wa Chuo Kikuu. Click to expand... Shukrani sana. Hiyo ya pili inanitesa pia, naomba msaada
MOI JOHN said: Mhadhiri ni mwalimu wa Chuo Kikuu. Click to expand... Shukrani sana. Hiyo ya pili inanitesa pia, naomba msaada
MOI JOHN JF-Expert Member Aug 15, 2013 1,736 1,078 Sep 22, 2017 #4 Mhadhili haipo katika lugha ya Kiswahili.