KUTOKA MAKTABA YA MZEE KISSINGER: PICHA YA KARNE YA 20 YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Jana tulipokwenda kumsalimia mwalimu wetu Mzee Kissinger nilimgusia kuhusu picha aliyonipa miaka mingi...
Mchoro wa karne ya 16 unaoonyesha kuchunwa ngozi akiwa hai kwa hakimu fisadi, Sisamnes, katika mwaka wa 500BC.
Sisamnes alikuwa hakimu wa kifalme fisadi wakati wa Cambyses ll katika taifa la...
Habari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha...
SIGARA "CLIPPER" ALIYOKUWA AKIVUTA MWALIMU NYERERE
Picha hiyo hapo chini imepigwa mwaka wa 1955 Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu kwenye Tawi la TANU alilofungua Ali Msham nyumbani kwake.
Ali Msham...
Hector Pieterson being carried by Mbuyisa Makhubo after being shot by South African police. His sister, Antoinette Sithole runs beside them. Pieterson was rushed to a local clinic and declared...
BURIANI NDUGU YANGU SULEIMAN ‘’BAKU’’ ISMAIL
Siku ya Alkhamis, tarehe 9 tumemzika ndugu yetu Baku mtu maarufu kupita kiasi Mafia.
In Shaa Allah nitakuja kueleza umaarufu wa Baku baadae...
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI
Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya...
The assassination of Mr Lincoln
Our coverage of the death of the American president
Apr 29th 1865
Share
Abraham Lincoln was shot in Ford's Theatre in Washington on the evening of April 14th...
Pichani ni Julai 16, 1963, Rais wa Jamhuri ya Tanganyika Julius Nyerere akiweka katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant pini yenye alama ya mwenge wa taifa.
Kulia kabisa ni...
Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.
Wachaga walianza kuhamia kwenye...
Nimesimuliwa
Chanzo cha usafiri wa umma kuitwa daladala.
Wakongwe muje hapa.
Alinihadithia babu kuwa zamani miaka ya nyuma kidogo kipindi usafiri wa magari kwa umma umeshamili hasa maeneo ya...
Shaaban Robert Alizawa (1 Januari 1909 - 22 Juni 1962) alikuwa mshairi na mwandishi wa riwaya. Mchango wake katika lugha ya Kiswahili ni mkubwa kwani kazi zake zinaheshimika katika fasihi ya...
WACHA TUSEME, TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO
Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha bandari za Tanzania na kampuni ya DP World...
Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi?
Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha...
MTAA WA MUHIDIN MFAUME KIMARIO KINONDONI MOSCOW
Leo nikiwa na ndugu yangu mwanahistoria na maktaba inayotembea Hamisi Hababi tumekutana na kibao cha Mtaa wa Kimario Kinondoni Moscow tukaamua...
Kabila la wazinza lipo sengerema, geita na sehemu mbali mbali za kanda ya ziwa
Ambaye anazijua tamadun za kabila la wazinza naomba anijuze
Note: wale watukanaji na wale wenye stress huu sio uzi...
PROF. KISSINGER
Leo mimi, Hamisi Hababi na Sheikh Taufik Kazaliwa tumemtembelea mwalimu wetu Prof. Kissinger.
Kwanza tulikuwa ndani tukapata darsa la Komredi Abdulrahman Babu na Mwana ASP na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.