Jukwaa la Historia

On JF:

Hii historia ya neno Ikulu nilianza kuisikia miaka kadhaa iliyopita , tangu nikiwa primary, na secondary pia ila ukweli halisi siujui. Inasemekana pale Dodoma, kulikuwa/Kuna mji unaitwa Mvumi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu msomaji wa makala hii vuta kiti chako ujifunze kitu hapa ... Africa Ina MASHUJAA --- MFAHAMU MWANAMAPINDUZI HAYATI RAIS THOMAS SANKARA KUTOKA NCHINI BURKINAFASO Kama Kuna usemi umeshawahi...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954 Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60. Miongo sita imepita...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
KUJUA LEO YAKO UNAHITAJI KUJUA JANA YAKO Nimeweka picha nne hapo chini tati ni za maandamano ya wananchi yakiwakilisha makundi makubwa mawili katika jamii ya Watanzania. Picha ya kwanza ni ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Huenda ukiulizwa kuhusu Filipino utamtaja Manny Pacquiao, Neno Philipine linatokana na Mfalme Philip wa Uspanish (King Philip) aliyewahi kuishi kwenye viswa hivyo na kuzaana, wafilipino wengi wana...
9 Reactions
54 Replies
15K Views
30 October 2021 Part 1: Bi Naila Majid Jidawi mwenye umri wa miaka 77, anasimulia kuhusu mumewe, Marehemu, Kanali Ali Mahfoudh, aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, akapata mafunzo ya kijeshi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
TUENDELEE NA HISTORIA YA CHAMA CHA (A.A). Picha namba (1) inaonyesha jengo la ghorofa mbili lenye mistali ya rangi ya kijani na nyeupe, jengo hilo lilikuwa ni la chama cha African Association...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU WA UDOGONI GERSHOM CHIHOTA (1950 - 2023) Kiasi cha kama siku tatu zilizopita nimepokea taarifa kutoka kwa Ally Max Marekani. Ajabu jinsi kifo kinavyoweza kufungua majalada...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
#History The story of Kurunmi is one that draws tears from the eyes of people who feel pity for a man who stood firm for tradition. There was a time in the history of Yoruba where the heir to...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
BURIANI LEILA SHEIKH SIKIO NA MWANDANI WA BI. TITI MOHAMED Wasomaji wangu niruhusuni niweke msg niliyomtumia Leyla Sheikh tarehe 12 December 2022. (Mtaniwia radhi nimeifanyia uhariri kidogo ili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
“Nilikutana na Saddam mara mbili baada ya kupinduliwa” Maelezo ya picha. Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab (kushoto), akisalimiana na Abu Mahdi al Muhandis, aliyekuwa Kaimu wa Mkuu wa Jeshi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HISTORIA YA KURA TATU: DUA YA MNYANJANI TANGA HADI HOTUBA YA JULIUS NYERERE PARISH HALL (UKUMBI WA KANISA KATOLIKI) TABORA 1958 Laiti kama si Sheikh Abdallah Rashid Sembe wa Tanga kukubali...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni kujua historia ya waziri mkuu wa zaman Edwad sokoine
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Picha lina anaanza. Wenzetu weupe wanaingia Barani Afrika, nchini NIGERIA katika jimbo liitwalo BORNO (Borno State) na kugundua madini aina ya Calfornium. Kisha wanaamua kununua eneo kubwa sana...
6 Reactions
95 Replies
6K Views
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na...
11 Reactions
95 Replies
6K Views
SALEH RAJAB TAMBWE, JOB LUSINDE NA SAMWEL SITTA Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Balozi Saleh Tambwe ambae tukifahamiana kwa miaka mingi na yeye akimjua babu yangu katika kundi la wazee wa...
10 Reactions
28 Replies
6K Views
KUTOKA NYARAKA ZA LAWI NANGWANDA SIJAONA: MWALIMU ANAMWAGIZA MSAIDIZI WAKE JOAN WICKENS AMPELEKEE SIJAONA KITABU ''FALSE START IN AFRICA'' Adam Sijaona mtoto wa marehemu Nangwanda Lawi Sijaona...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Julius Kambarage Nyerere. 1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli. 2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho. 3. Kiongozi aliyekuwa na...
0 Reactions
10 Replies
872 Views
Picha hiyo hapo chini kaniletea kaka yangu Ramadhani Kingi kutoka Bukoba. Huyu ndugu yangu ana hazina kubwa sana ya maandishi na picha ya historia ya uhuru wa Tanganyika katika Maktaba yake...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Srinagar (Jammu-Kashmir) INGAWA baadhi ya maeneo ya Jammu na Kashmir yanatatizika kiuchumi, eneo hilo kwa ujumla limepata unafuu wa wa utalii baada ya kifungu cha 370 kufutwa mnamo 2019 na...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Back
Top Bottom