Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,921
- 30,264
HUYU NI EMMANUEL MUGANDA WA VoA
Leo nimetembelewa na Emmanuel "Jenkins", Mganda ambaye hatujaonana toka miaka ya mwishoni 1968 alipoondoka Tanzania kwenda kusoma Marekani.
Leo kanitembelea nyumbani kwangu Magomeni Mapipa, na kunionesha yeye ni mtoto wa mjini kaja na Bajaj.
Mimi nimesimama nje ya nyumba yangu (dereva anaemleta asipate shida ya kujua kwangu huku napiga simu) nasikia sauti ya Emmanuel inatoka ndani ya Bajaj, "Nakuona, nakuona..."
Msikilize ndugu yangu huyu aliyepata kuwa Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, Washington DC.
View: https://youtu.be/0WHiPCP7NOk?si=Aa2ZJM3jxL6S6oBm