Jukwaa la Historia

On JF:

HUSSEIN SHEBE NA HAILE SELASSIE Kipande hicho hapo chini kipo hapa tayari katika makala nyingine. Hata hivyo nimetamani nikiweke kipande hiki hapo chini kijitegemee na sababu ni mapenzi...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
KUMBUKUMBU ZA TEWA SAID TEWA RAIS WA EAMWS TANZANIA ''Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
BI. TITI HATUTACHOKA KUMTAJA Antar Sangali ana mapenzi makubwa na marehemu Bi. Titi Mohamed kila apatapo fursa humzuru na kumuombea dua. Nimepokea picha na mengi kuhusu Bi. Titi kutoka kwake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
KITABU CHA ABDUL SYKES KATIKA PDF Kitabu hiki kilichochapwa na Minerva Press London 1998 sasa kipo katika pdf. Nimeshindwa kupata link lakini nimewatumia watu wengi katika Whatsapp peaneni humo...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Alichokisema Socrates kuhusu demokrasia zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Alisema kuwa demokrasia lazima ianguke kwa sababu itajaribu kurekebisha kila mtu. Masikini watataka utajiri wa matajiri, na...
5 Reactions
5 Replies
747 Views
Picha hiyo huyo ni Ilyas Abdulwahid Sykes. Jina la utani udogoni tukimwita "Jaluo." Kanitembelea nyumbani kwangu na hapa namwonesha Maktaba iliyohifadhi historia ya baba yake marehemu Abdulwahid...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Huyu ndiye ASKARI ambaye sanamu yake iliwekwa pale SAMORA AVENUE ROUNDABOUT -ASKARI MONUMENT. Inasemekana hapo ndio muda aliokuwa amepozi kwa ajili ya kutengenezwa sanamu, kwa jina aliitwa MKAVILONDO.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Mwaka Ule wa Vita ya Kagera majeshi yetu yalivyoingia ndani ya Uganda lengo lilikuwa Moja tu kumsaka Nduli Idd Amin na Siyo kuua Wanawake na Watoto wa Uganda wasio na hatia Mungu wa mbinguni...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Nipo naendelea Kusoma Kitabu cha Maisha ya Rais niliyemkubali sana Mpendwa Wetu mzee Mwinyi Ruksa Mwinyi alipelekwa Zanzibar kujifunza Dini ya Kiislamu na akiwa huko Mungu wa mbinguni akambariki...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
WANASEMA KWA KEJELI ATI NAJITIA KUJUA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Vitabu hivi vingekeuwa vimeandikwa miaka mingi sana na waandishi na kuwa sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika. Kwa nini...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
SPOKES MASHIANE, MILLIE SMALL NA MIMI MAPEMA1960s Dr. Harith Ghassany kaja Tanga kufanya utafiti wake wa mapinduzi ya Zanzibar. Baada ya utafiti huu akaandika kitabu maarufu, ''Kwaheri Ukoloni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefika Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City nyakati za mchana nikitokea Detroit ambako ndiko nilikoingia Marekani nikitokea Amsterdam. Kutoka Detroit nimepanda ndege ndogo hadi Iowa City na hapo...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa...
3 Reactions
10 Replies
8K Views
Azimio la Balfour lilikuwa ni taarifa ya umma iliyotolewa na serikali ya Uingereza mwaka 1917 wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia ikitangaza kuunga mkono harakati za Shirika la Kizayuni kuanzishwa...
1 Reactions
0 Replies
533 Views
Makonda is loading........
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958) Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU nyingi iko katika mikono ya watu. Hakika maneno haya ni ya kweli wala hayana shaka. Nimepokea nyaraka nyingi na picha kutoka kwa watu zinazohusu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamii ya Ninja ilikuwepo Japan tangu mwanzo wa karne ya 11 katika maeneo ya Koga na Iga, lakini umaarufu wao uliongezeka wakati wa migogoro na vita vya Japan katika karne ya 15. Jamii hii...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom