Jukwaa la Historia

On JF:

KAKA ZITTO NAOMBA UNIJIBU HAYA MASWALI. 1. Kwanini wewe unaakili sana hadi unakera? 2. Kwanini unatoa elimu bure bungeni bila kujali ugumu wa kazi ya kumuelimisha mtu kama Nape na genge lake...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!!! nimepata kukisoma kitabu cha mwalimu Nyerere kiitwacho UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA.katika kitabu hicho mwalimu anaelezea namna alivyopambana kufa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli wanaimba injili lakini katika toleo hili naona kuna kilichojificha.Matha ameolewa Ok lakini katika wimbo wa pili kwa sehemu kubwa Mdogo wake Beatrice ametumia kuonesha umbile lake kwenye...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu! Ikiwa Leo ni siku muhimu kwa taifa letu; Nimeamua kuwaandikia wale walio vijana sayansi ya kumudu kazi hii ya kizalendo. Ni taaluma kama ilivyo taaluma nyingine za fizikia...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Na Alhaj Abdallah Tambaza Abdallah Tambaza KATIKA taifa lolote duniani, kuna watu huwa wanaenziwa, wanatukuzwa na kutajwatajwa, kama namna ya kukumbuka...
4 Reactions
27 Replies
12K Views
Aman Thani ‘’….inataka ifahamike kuwa Ufalme wa Zanzibar ulikuwa ni Ufalme wa Katiba na Mfalme mwenyewe naye alikuwa Mfalme wa Katiba. Ni maarufu kua chama cha Afro Shirazi hakimtaki Mfalme...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
IKIADHIMISHA KUASISIWA JE CCM INA KUMBUKUMBU ZA MZEE KINYOZI MUASISI WA TANU SINGIDA 1954? Utangulizi Kushoto: Idd Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramiya, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Saadan...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Nadharia nyingi za kisayansi zimejengwa katika misingi ya wanasayansi wa Kigiriki(Uyunani ya kale) Sasa mbona Ugiriki ya sasa haiwiki kama ya zamani?(wakumbukeni akina PLATO na ARISTOTLE)
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Julius Kambarage Nyerere (April 13, 1922 - October 14, 1999) was President of Tanzania (previously Tanganyika), from the country's founding in 1964, until his retirement in 1985. Born in...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msikikilize Mohamed Said akimzungumza Mwalimu Nyerere katika Azam TV kuhusu harakati za TANU 1954 hadi kupatikana kwa uhuru mwaka wa 1961: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere -Azam TV | Mohamed Said
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mataifa ya Ulaya mashariki yakiongozwa na Urusi kwa nini hayakujishughulisha kutafuta na kupata makoloni Duniani kama mataifa ya Ulaya magharibi yakiongozwa na Uingereza? Pia Marekani 1884-1885...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba anayejua anijuze kama ni kweli paliwahi kuwepo Rais wa wachaga. Je ni kweli pia chagaland walikuwa na sarafu yao? Habari hizi nimesimuliwa na mzee mmoja hapa Nachingwea nikiwa katika...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wana JF Jina CHOGGA limekua likitajwa miongoni mwa wana Siasa nguli wa Taifa kuanzia 1960s-90s Inasemwa Mwanasiasa huyu alikua Mbunge wa Iringa kusini(1963-65),Yeye Pamoja na wenzake 8...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mohamed Siad Barre Na Nova Kambota Mwanaharakati, Ukitaja nchi za kisoshalisti za kiafrika za miaka 1970 hutaacha kuitaja Somalia ya jenerali Mohamed Siad Barre aliyewahi kuongoza Somalia...
6 Reactions
24 Replies
15K Views
Ahmed Seif Naanza kwa kusema kuwa inawezekana kabisa kuwa Ahmed Seif ndiye muasisi wa TANU mdogo kupita wote katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Yeye alijiunga na harakati akiwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nashangaa sana tunasema kwamba kasi ya serikali hii awamu ya tano ni kupambana vikali na Rushwa lakini hatujiulizi ni hatua gani juzi uchaguzi wa Meya jiji la Tanga zilichukuliwa? Hapa rushwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanamajlis, Kiasi cha kama miaka miwili iliyopita palikuwa na mjadala mkali sana hapa ukumbini kuhusu hotuba ya Mwalimu Nyerere alipomtaja Abdul Sykes. Yericko Nyerere, Maalim Faiza Foxy na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Unafikiri tunge miss nini bungeni kama mbunge wa Arusha mjini angeshindwa ubunge?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali moderator. Usiiondoe hii posting.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…