Maswali magumu kwa Zitto

eng.kwenyula

Member
Jan 3, 2016
40
24
KAKA ZITTO NAOMBA UNIJIBU HAYA MASWALI.

1. Kwanini wewe unaakili sana hadi unakera?

2. Kwanini unatoa elimu bure bungeni bila kujali ugumu wa kazi ya kumuelimisha mtu kama Nape na genge lake?

3. Kwanini wewe ukiitwa Yuda na msaliti huwa hujali na unazidi kutoa ushirikiano kwa wahasimu wako?

4. Kwanini unaitesa serikali ya mtumbua majipu hadi inapaniki na kufikia hatua ya kuingiza mbwa sehemu takatifu ya bunge ili utishike?

5. Kwanini unamfanya Chenge na maprofessor wa Magu kuonekana walifaulu kwa kutumia juche?

6. Kwanini wewe huchuji bro?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom