How Kennedy was assasinated | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How Kennedy was assasinated

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Andrew Nyerere, Oct 5, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Tafadhali moderator. Usiiondoe hii posting.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,244
  Likes Received: 12,964
  Trophy Points: 280
  Niliona video yake duuuh noma isee

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Andrew ile mada ihusuyo watu kulipishwa kuangalia kaburi la J.K Nyerere(R.I.P) haujajibu, mi natangulia nikukute kule.
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ameshajibu, wala usipandwe na jazba.
   
 5. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Ile mada nimeijibu. Tulikuwa na mkutano wa familia Msasani a few months ago. Madaraka akasema wale watu why do they have to complain so much when we charge them 2000 sh.? Mimi nikasema basi punguzeni tozo iwe 1000sh. Sasa sijui ni mada gani inayozungumziwa pale,but I hope this will answer it.
   
 6. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Hii makala kwa wale ambao hawana muda wa kuisoma inasema Kennedy aliuawa na wale wale secret service agents waliokuwa wanamlinda. Kulikuwa na device ndani ya gari ambayo ilikuwa operated by the secret service agent driver of the car which was fired to kill Kennedy. As well as several marksmen by the roadside who also shot at Kennedy and Governor Connally.
  The car was destroyed within 48 hours. The brain of Kennedy disappeared. It was never found. Mwili ulipofika Washington haukuwa na ubongo[kwa sababu ubongo ungeonyesha jinsi alivyouawa.]
  Why was he killed.? He was trying to stop a war between Russia and America by defusing the Cuban Missile Crisis. Which was a very good[noble,sensible] thing to do. But it is not every one there who does not want a war with Russia. So,George Bush Sr[who was the head of the CIA],Lyndon Johnson and Rockefellor killed him.
  These things are not coming from my head. You should read the article yourself. It is a Zionist conspiracy. It is a very complicated theory. It goes something like this. The Bolsheviks were expelled from Russia,and Russia became more or less a capitalist country. But the Bolsheviks went to Israel,and now they want a war with Russia so that they can get Russia back,and they want to make the whole world communist with the headquarters in Jerusalem. With their influence on the United States government,they want to force America into a war with Russia. And Kennedy wanted to stop this so he had to go.
  If you want to read all this gossip you can find it in the phoenix archives. This article is in the Express Journal Vol. 3,section 10.


   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Ganesh,

  If you get your timeline wrong, we begin to wonder what else you got wrong.

  George H. W Bush hakuwa head of CIA until 1976.

  [TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
  [TR]
  [TH="bgcolor: #E6E6FA, colspan: 2, align: center"]Director of Central Intelligence[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2, align: center"]In office
  January 30, 1976 – January 20, 1977[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]President[/TH]
  [TD]Gerald Ford[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Preceded by[/TH]
  [TD]William Colby[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Succeeded by[/TH]
  [TD]Stansfield Turner[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  George H. W. Bush - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ganesh yeye ametoa tafsiri ya kilichoandikwa tu kwenye makala kwa ajili ya wale wavivu wa kusoma.

  Makala "imempotosha" kwa kuweka tungo tata

   
 9. Mzee wa ngano

  Mzee wa ngano Senior Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Itaondolewa kwakuwa umekosea kuandika hilo neno assasinated.
   
 10. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Ukisoma hiyo makala hilo swali linajibiwa,''He decided to be the CIA chief in order to cover up the crime.''
   
 11. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Unauliza what else can be wrong? Soma Phoenix Archives. Kuna story pale inasema yule mtu mmoja alikajiriwa na Kampuni Poland,alikuwa anawauzia Wanazi cyanide iliyokuwa inatumika Aushwitz. Halafu baadaye yule mtu akaamua kuwa Mkatoliki,later he was ordained as a bishop in Poland as the youngest ever Polish bishop.
  Baadaye akapelekwa Vatican,wakati ule ulikuwa ni wakati wa uchaguzi wa Pope,akachaguliwa John Paul 1 amabye baada ya siku thelathini akauawa kwa cyanide poisoning. Baadaye yule cyanide salesman akachaguliwa kuwa Pope,akawa John Paul 2. Nadhani umeielewa story;inasema John Paul2 was a horrid fake.
  Naweza kuiweka hiyo pdf posting kesho kama mod will not object,kwa sababu hizi makala ni ndefu.
   
 12. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Andrew, heshima mbele mkuu. Nimesoma hizi nondo zako, I'm very impressed. Hii ya Pope John Paul II imeniacha mdomo wazi kbs.
   
 13. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2014
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,824
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Sio wewe tu hata mie nimebaki mdomo wazi aisee
   
 14. S-Boy

  S-Boy New Member

  #14
  Apr 16, 2014
  Joined: Apr 15, 2014
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh!
   
 15. The Stranger

  The Stranger Member

  #15
  Apr 16, 2014
  Joined: Apr 25, 2013
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Very true though siprising
   
 16. Nelson nely

  Nelson nely JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2015
  Joined: Jan 25, 2014
  Messages: 2,741
  Likes Received: 981
  Trophy Points: 280
  haya mapya sasa!
   
 17. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2015
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  kweli mambo ya wakatoliki na tawala za dunia hii wanatuongoza bila wengi wetu kujua!
   
 18. HORSE POWER

  HORSE POWER JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2015
  Joined: Feb 22, 2015
  Messages: 1,221
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Mauaji ya JFK ni mpango mahsusi ulioratibiwa na kufanikishwa na GENGE hatari la ILLUMINATI.Waliamua kumuondoa baada ya kuona anakwenda kinyume na mipango yao.Hili genge ambao wenyewe wanajiita 'The Elites One',ndio linaloendesha Serikali ya Marekani na kila Rais wa nchi hiyo ni lazima awe member wa genge hili.Na kila Rais wa nchi hiyo anapewa ajenda maalum ya kuitekeleza pindi akiwa madarakani.Mfano George W. Bush na vita vya Iraq ni ajenda ya hawa jamaa,lengo ni kunufaika na mafuta ya nchi hiyo.
  Kwa hiyo basi vyombe vyote vya ulinzi na usalama;FBI,CIA,Secret Service,DEA,Police Deepartments n.k. vinadhibitiwa na genge hili.Sio hayo tu mpaka mabunge ya Seneti na la Wawakilishi yapo mikononi mwao.Bila kusahau PENTAGON nayo halikadhalika ipo mikononi mwao.Kiufupi utawala mzima uko chini yao.
  Kilichomponza JFK ni kupingana nao.Na inasemekana kwamba JFK aliingia matatani na hawa jamaa baada ya kupinga sana vita ya Vietnam ilhali huu ulikua ni mpango wao wa kutengeneza pesa.Na pia aliapa kuliangamiza genge hili hivyo wakaamua kumuondoa kabisa.
  Cha kusikitisha zaidi ni kwamba genge hili halikutaka kuona Kennedy mwingine anagombea Urais.Kwa hiyo mkakati ukawekwa wa 'kuwafyeka' akina Kennedy wote.Hivyo Robert Kennedy na Teddy Kennedy nao waliuawa.
  Habari zao zinatisha hawa jamaa.Ndio wahusika wakuu na waratibu wa vifo vya watu mashuhuri kama Martin Luther King Jr,Malcolm X,Bob Marley,Princess Diana n.k.
   
 19. HORSE POWER

  HORSE POWER JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2015
  Joined: Feb 22, 2015
  Messages: 1,221
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Ndivyo dunia ilivyo ndugu yangu.Kuna mambo makubwa yanafanyika nyuma ya pazia,lakini huwezi kuyajua mpaka uwe mchokonozi.
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2015
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  You make me lough loudly...this is a fabricated story
   
Loading...