Ulaya Mashariki ikiongozwa na Urusi.

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,758
22,995
Mataifa ya Ulaya mashariki yakiongozwa na Urusi kwa nini hayakujishughulisha kutafuta na kupata makoloni Duniani kama mataifa ya Ulaya magharibi yakiongozwa na Uingereza? Pia Marekani 1884-1885 kwa haikuwepo kwenye mgawo wa kupata makoloni wakati sasa ni taifa lenye nguvu Duniani?
 
Kwa uelewa wangu sababu ni ujamaa,mengine watakuja kusema
 
Back
Top Bottom