Matha na Beatrice Mwaipaja-NIKO HAPA

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,250
1,467
Ni kweli wanaimba injili lakini katika toleo hili naona kuna kilichojificha.Matha ameolewa Ok lakini katika wimbo wa pili kwa sehemu kubwa Mdogo wake Beatrice ametumia kuonesha umbile lake kwenye kamera gauni limembana sana.Nadhani kisaikolojia haitavutia walioKiroho.

Lakn pia wimbo wa kwanza nashindwa kuelewa wanafuata key gani maana wimbo na key tofauti utadhani wanaghani kama Mrisho Mpoto.
 
Hao ni wafanyabiashara tu mkuu, wewe kama ulidhani wanaimba kwa imaya ya kwamba ni 'Nyimbo za kiroho' sahau kuanzia sasa.
 
Kusema ukweli pesa inanunua urembo,huyu binti alivyokuwa anatoka na albam ya kwanza alikuwa kama ngongoti fulani lakini kwenye hii mpya anaonekana mtamu!
 
Nadhani hii ni promo ya kijanja janja...! Ndiyo maana mleta mada hajaleta ushahidi wa kutosha hapa jukwaani...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom