Dr Martin Luther King, Junior (Atlanta, Georgia, 15 Januari 1929 – Memphis, Tennessee, 4 Aprili 1968) alikuwa Mkristo mwenye asili ya Afrika, mchungaji wa Kibaptisti na mwanaharakati mashuhuri...
Dear JF Members!
Would love to share with Madiba's speech delivered when he accept Honorary Doctorate at Havard University way back 1998. https://www.youtube.com/watch?v=5Zh8otC-c3s
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nia na malengo ya kuanzisha thread hii ni kukumbushana/kuelimishana/kupeana mawazo/kupeana mtazamo na kuelezana juu ya historia ya siasa...
President of the Democratic Republic of the Congo
Assumed office
26 January 2001
Acting: 17 January 2001 – 26 January 2001
Prime Minister Antoine Gizenga
Adolphe Muzito
Louis Alphonse Koyagialo...
Habari wadau, nimekumbuka mbali sanaaa baada ya kupita mitaa hii leo infact sijaamini nilichoona sababu ama kwa hakika muda unakimbia sana.
Mimi ni moja kati ya vijana wadogo niliyo wahi kuhish...
Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa, Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka ndolezi, kijiji cha isela wilayani mbozi katika...
wanabodi,
Naomba nijuzwe tangu nchi zetu za kiafrika zipatiwe huu Uhuru wa Bendera tulio nao hivi sasa kweli kuna kiongozi wa nchi yoyote katika bara hili la Africa aliyewahi kupatwa na haya...
Inasemekana Nyerere si mtanganyika wa kwanza kuhutubia UN, na kwamba wapo waliomtangulia lakini wazee wakajikomba kwa babu wakapindisha historia......kuna mwenye data!
Kitambo nlipata kujuzwa...
WAKRISTO WA ZANZIBAR
HISTORIA FUPI YA MAKANISA YA MWANZO YA ZANZIBAR
WARENO 1500 1800
Ukiristo uliletwa kwa mara ya mwanzo Zanzibar na Wareno. Wareno wakielekea juu kutoka kusini baada ya...
UHASAMA WA KIANJA NA KARAGWE
Wakati wa utawala wa kijerumani ndani ya buhaya(bukoba),Omukama Kahigi wa Kianja alikuwa na nguvu sana kwa maana yeye aliwakaribisha Wajerumani katika utawala wake...
1.Uasi wa Nat Turner.
pia uitwao Ufufuo wa Southampton, labda ni uasi wa mtumwa maarufu zaidi katika Amerika ya Kaskazini. Uasi huo ulipangwa kwa uzuri na Turner na ulifanyika Agosti 1831...
Mohamed Said na uvurugaji wa historia ya nchi yetu
Na Prudence Karugendo
''Nimevumilia sana mpaka imefikia mahali naona niandike kuhusu uvurugaji wa makusudi wa historia ya nchi yetu unaofanywa...
MAZIKO YA ABDULWAHID SYKES 1968
Kulia: Abdul Sykes, Tewa Said Tewa aliyekaa kulia ni Chief Abdallah Said Fundikira, Hijja, 1964
Mazishi ya Abdulwahid Sykes yalifanyika siku ya Jumapili tarehe...
Kama unakumbuka vizuri mnamo DESEMBA 13 mwaka 1991 Mwalimu Julius Nyerere alizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam, juu ya kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa...
NIMESOMA HISTORIA YA UJERUMANI NA JINSI DIKITETA HITLER ALIVYOINGIA MADARAKANI.
1. ALICHAGULIWA BAADA YA KUONEKANA MTETEZI WA MASIKINI.
2. MAMBO MENGI ALIYOFANYA MWANZO WA UTAWALA WAKE YALIKUWA...
#Miaka19YaMwalimu
TUNAKWENDA KUADHIMISHA MIAKA 19 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE, BABA WA TAIFA.
JE, KITU GANI UNAKUMBUKA KWENYE UONGOZI WAKE KINAKUFURAHISHA HADI LEO, NA JE ULIKUWA WAPI...
Hi wana JF.
Nimeona nilete mada hii hapa mbele yenu baada ya kukutana na mtanzania mwenzangu na kusema kabila lake ni moja wapo ya "endangred species" maana yake wapo labda chini ya 1,000.
So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.