Jukwaa la Historia

On JF:

Nani anayajua majina ya wanawake hawa wanne wanachama wa mwanzo wa TANU na wanawake waliomsindikiza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya kwanza UNO 1955...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Kulia Bi. Chiku Kisusa (Mama Sakina), Bi. Titi Mohamed, wa kwanza kushoto Bi. Tatu bint Mzee wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya...
7 Reactions
4 Replies
3K Views
Shajara ya Mwana Mzizima: TAARABU NA UHURU WA TANGANYIKA Na Alhaji Abdallah Tambaza Mwalimu Subeti Salum Subeti (1903 - 1974) mmoja katika wapiga fidla (violin) maarufu wa Egyptian katika...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
SHAJARA ZA VITA ZA LANCE CORPORAL KLEIST SYKES (1894 - 1949) VITA VYA KWANZA VYA DUNIA 1914- 1918 Utangulizi November 11, 1918 ndiyo siku Vita Vya Kwanza Vya Dunia...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni Ni miaka mitano sasa tokea kuuwawa kwa Gaddafi, walibya waliamini uhuru wao na maendeleo yapo katika kumuangusha kwake lakini toka kuuwawa kwake nchi haina Amani tena imepoteza nguvu na...
5 Reactions
10 Replies
7K Views
Jina kamili : Ernesto Guevara Kazi : Daktari, mwanamapinduzi wa kijamaa (marxist) Uraia : Argentina Kuzaliwa : June 14 1928 Kufariki : October 9, 1967 ,Bolivia milima ya La heguera Chanzo cha...
6 Reactions
15 Replies
8K Views
Unamfahamu Mzee Lawi Nangwanda Sijaona? Leo angekuwa anatimiza miaka 90. Tupate wasifu wake ulioandikwa na Kamaradi Victor Richard _______ KOMREDI LAWI NANGWANDA SIJAONA: MZALENDO, MWADILIFU NA...
4 Reactions
11 Replies
48K Views
Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba...
4 Reactions
114 Replies
24K Views
John Pombe Joseph Magufuli (amezaliwa 29 Oktoba, 1959) ni rais wa tano wa Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. John Pombe Magufuli John Pombe Magufuli John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania...
3 Reactions
10 Replies
13K Views
Mwene Ngalu(I) mwanamke mtawala wa Kabila la Wafipa ] Makao makuu ya Mwene Ngalu wa kabila la Wafipa yaliyopo mjini Sumbawanga Kitabu kilichoandikwa na Mkuu wa wilaya wa enzi za Ukoloni wa...
2 Reactions
8 Replies
15K Views
Mjukuu wa Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar amesoma historia ya TANU jinsi ilivyoingia Jimbo la Kusini (Southern Province) kupitia juhudi za wazalendo kama Suleiman Masudi Mnonji, Yusuf Chembera...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Sir David Livingstone Mtu wa kwanza kugundua ziwa victoria neno moja kwake
3 Reactions
59 Replies
16K Views
Utata mafao ya wastaafu yapata majibu Kanuni mpya ya sheria ya hifadhi ya mfuko wa jamii ya mwaka 2018 imeondoa ‘ubaguzi’ kwa watumishi wa sekta binafsi na Serikali ambao sasa watatumia kikokotoo...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
habari wanajamii forums, leo nimeiwaza mahakama hii iitwayo mahakama ya hakimu mkazi kisutu, iliyopo pembeni ya maktaba kuu ya taifa katikati ya jiji la dar, kwa hakika ndiyo mahakama maarufu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
The beauty of the German Castles has always been immortalized in the Disney World which remains etched in our mind distinctly. ------------- Castles in Germany
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nimesoma kitabu cha historia ya nchi yetu kuanzia wareno, wajerumani, waarabu, waingereza hadi uhuru kilichotungwa na H.MAPUNDA toleo la mwaka 1979 nimejifunza mengi yafuatayo:- 1.kumbe kuna watu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepitia kitabu cha kanisa katoliki kinachoelezea historia za watakatifu, kwa nchi za Afrika Mashariki nimeona mashahidi wa uganda pekee kama karoli lwanga, mathias mulumba n.k, na kwa majirani...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Of late, mambo hayaendi vizuri sana kwa Mh Rais John P. J. Magufuli na Baraza lake la Mawaziri. Kuna mengi mazuri mh. Magufuli anafanya vizuri, lakini yafuatayo ni shiida sana na imebidi watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni nyumba ya kihistoria iliyojengwa na muingereza ambayo baada Tanzania kupata uhuru nyumba hiyo ilianza kutumiwa na Mkuu wa mkoa ambaye kwa wakati huo alikuwa ni mmoja wa wasomi wachache...
17 Reactions
193 Replies
51K Views
Zamani kabla ya uhuru miaka ya 50 kulikua na nchi ya wachagga tena ilikua jamhuri kamili walikua wanamalizia tu taratibu kule UN iwe na mwakilishi kamili kulingana na history walikua na rais...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom