Jukwaa la Historia

On JF:

Wanamajlis, Itakapofika 12 Oktoba itakuwa miaka miaka 50 toka Abdulwahid Sykes kufariki. Huu ni wakati mzuri kufanya tathmini ya historia ya uhuru wa Tanganyika kwa lau kwa ufupi kumkumbuka yeye...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika chaguzi ndogo zilizopita Mbowe na Chadema yake waliwahi kujitoa kushiriki katika uchaguzi mdogo na uliofuata walirejea tena na kushiriki uchaguzi wa Buyungu na juzi wa Ukonga na Monduli...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mohamed Said: MEDALI YA ABDULWAHID SYKES: MWENGE WA UHURU 1961 - 2011
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Augusto alikuwa Kaisari wa kwanza wa Dola la Roma kuanzia mwaka 27 KK hadi 14 BK. Jina lake la kiraia lilikuwa Gaius Octavius akizaliwa Italia tarehe 23 Septemba 63 KK. Octavius alikuwa mpwa wa...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wanasiasa kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM) huwa ni wepesi sana kuongelea maswala ya uchaguzi mitandaoni kama vile kupost tweet za kupongeza ushindi wa wagombea wa chama chao huku...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wimbo huu kwa hisani ya emwandosya wa YOUTUBE: Inatukumbusha jinsi Tanzania ilipokuwa kimbilio la wanamapinduzi wakaweka makazi yao Tanzania mfano Samora Machel, Eduardo Mondlane n.k na wazazi...
6 Reactions
24 Replies
14K Views
Silla (57 KK – 935 BK) (Tamka ɕilla) ilikuwa moja kati ya Falme Tatu za Korea, na moja kati ya nasaba iliokaa kwa muda mrefu sana katika historia ya Asia. Japokuwa ilianzishwa na Mfalme Park...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Arthur Schopenhauer (22 Februari 1788 - 21 Septemba 1860) alikuwa Mwanafalsafa wa Ujerumani. Yeye anajulikana kwa kazi yake ya 1818 (The World as will and Representation) "Dunia kama wito na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Monduli amegoma kuwaapisha mawakala wa Chadema waliowasilishwa na chama kwake ili kuziba nafasi ya mawakala waliokamatwa, kutekwa na wengine kurubuniwa na ccm hivyo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukiweka ushabiki pembeni, na kuangalia ukweli ni kwamba wazungu walishangaa Sana aina ya utaratibu na muundo wa kiserikali waliokuwa nao wahaya kipindi wanakuja kutawala miaka ya 1800, Ndipo...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Hakuna mtu yeyeto nchini eliyevileta na kuviruhusu vyama vya upinzani nchini ila Mwl. Nyerere rip kwa sababu zake. Hatuwezi kamwe kusema tunafuata nyao za Nyerere bila kuvikuza vyama vya upinzani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu, Wazee wetu wa zamani waliishi kwa raha sana. Hivi nikitaka kufufua hili gazeti kaa sasa naweza kupewa vibali? Gazeti la jamii ya Wachagga lililokuwa likiitwa Komkya (likimaanisha...
7 Reactions
49 Replies
12K Views
JamiiForums ni mtandao wa kijamii maarufu zaidi nchiniTanzania ulioanzishwa rasmi mwaka 2006 mwezi Machi ikiwa na waanzilishi wawili, Maxence Melo na Mike Mushi ambao walijuana kupitia mtandao...
15 Reactions
52 Replies
7K Views
"Tuliamuriwa kutoka nje ya jengo kupitia mlango wa bustanini na majasusi wa shirika la ujasusi la Idi Amin. Nje ya jengo kulikuwa na bustani nzuri iliyojaa miti midogo midogo na barabara zenye...
36 Reactions
112 Replies
38K Views
Back
Top Bottom