Jukwaa la Historia

On JF:

41 years ago in 1978 A.D, arguably one of the most well respected African leaders of the era, President Jomo Kenyatta of Kenya, suffered a heart attack and died at the State House in Mombasa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwaka 1958 Mao alitangaza maadui wanne wa taifa. Nzi, mbu, panya na Shomoro walitangazwa. Kosa la Shomoro lilikuwa ni kula nafaka. Sasa hawa shomoro hawawezi kuruka kwa muda mrefu bila kupumzika...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo jioni nimetembelewa na vijana wawili Muyuni Joseph na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu. Nimefanya mazungumzo na vijana hawa wasomi na waandishi wazuri ambao hatukupata kujuana ila katika...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Mazungumzo kuhusu barua ya Mwalimu Nyerere kujiuzulu ualimu ili awe mtumishi wa wananchi wa Tanganyika katika kudai uhuru: Mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa gazeti la Drum...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
SANAMU YA BABA WA TAIFA ILIYO TAABAN YA AZIMIO LA BUSARA LA TABORA (UAMUZI WA BUSARA)1958 ''Wengi wamesahau athari na alama za harakati za TANU na uhuru; wanafaidi uhuru na matunda yake...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Barua ya Hamza Mwapachu kwa Julius Nyerere 1949 Hamza Kibwana Mwapachu Balozi Hamza Mwapachu ameiweka hadharani barua ya baba yake Hamza Kibwana Mwapachu (1913 – 1962) aliyomwandikia Julius...
10 Reactions
23 Replies
8K Views
Wala haikuwa katika fikra yangu kuwa kitabu nilichoandika miaka 12 iliyopita na kuchapwa na Oxford University Press Nairobi (OUP) kama sehemu ya mradi wa vitabu vya kufundisha lugha ya Kiingereza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
KUMBUKIZI YA NYUMBA YA MWALIMU NYERERE NA PICHA ZA MWANZO WA NYAKATI ZAKE Tukichagua picha za Mwalimu Nyerere Watafiti wa Kumbukizi ya Nyumba ya Mwalimu Nyerere leo L' Asr walinitembelea tena...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Najiuliza swali moja sipati jibu, Moja ina maana Uhuru wa Tanganyika ulipangwa siku 16 kabla? nini kilifanya wachague hiyo tarehe? maana ukisema haukupangwa, ilikuwaje, Mzee nyirenda, apange...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo asubuhi nimepokea ujumbe kutoka kwa msomaji wangu mmoja naweka huo ujumbe hapo chini: ‘’Naomba pia fanya utafiti Mkoa wa Tabora, wakati mimi mdogo nilikuwa pale Tabora Mtaa unaitwa Ngoma...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamuziki na mpigania haki za watu weusi Mwingereza Akala anajaribu kuchambua maendeleo yaliyofanywa na waafrika kabla ya ukoloni. endelea kuitazama Lecture yake aliyoifanya Oxford
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hawakuwepo kipindi hicho.
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Washington akisimamia shamba na watumwa Washington akivuka mto Delaware katika vita ya uhuru ya Marekani. Nyumba yake kwenye shamba la Mount Vernon George Washington (22 Februari...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
SERIKALI inakusudia kuligawa eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) katika kanda nne maalumu. Lengo kuu la hatua hiyo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazotishia na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.bbc.co.uk/news/amp/world-africa-48273570 Ni sinema mpya inayo onayo onyesha msichana mweusi akiwa na school mate wake wazungu. Wajerumani wanajulikana kwa ubaguzi wa rangi. Walipo...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ni simulizi ya wavulana wadogo watatu ambao walikaribia kuangamia katika wimbi la watu waliokua wakitoroka ghasia na mauaji yaliokumba Rwanda mwaka 1994. Pia ni inaangazia jinsi matangazo ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
VISIWA VYA COMORO,NI ENEO LA VISIWA VILIVYO TOKANA NA MATUMBAWE. Na.Comred Mbwana Allyamtu Friday -11/1/2018 Comoro ni muunganiko wa visiwa vitatu, na ni nchi ya jamuhuri ya muungano wa visiwa...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
WAKATI Zimbwabwe na Afrika nzima ikiendelea kuomboleza msiba wa kiongozi wake shupavu, Rais wa pili wa nchi hiyo, Robert Gabriel Mugabe (95), Gazeti la Ijumaa Wikienda linakujuza mengi zaidi ya...
4 Reactions
18 Replies
5K Views
Nakumbuka nilikuwa mdogo sana kiasi cha kushindwa kupambanua chochote katika yake ambayo yalikuwa yananizunguka. Lakini nakumbuka ilikuwa katika miaka ya 1955 au 1956 niliposikia jina la mganga...
15 Reactions
21 Replies
6K Views
Back
Top Bottom