Mpaka kati ya Israel na Palestina

leodigardcyrilo

JF-Expert Member
May 17, 2015
3,191
2,000
Nisiwachoshe sana kama kichwa kinavyo Sema humu yashazungumzwa mengi kuhusu Israel na palestina hizi ni nchi mbili tofauti kila mmoja anajivunia yeye ndo mzawa na mengine mengi Sasa mimi shida yangu nataka kuona mpaka wa hizi nchi kwa raman {PICHA} ingawa uandishi wangu Hauna mpangilio ila natumaini nimeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don Juan

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
21,781
2,000
I'm on the second seat

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
812
1,000
yani kama makaburu walivyotenga mikoa kwa ajili ya watu weusi ndio waisrael walichofanya kwa wapalestina, palestina ya leo inahusisha Gaza na West Bank, Gaza iko upande wa kusini magharibi mwa israel kwenye mpaka wa israel na misri (eneo la jangwa la sinai), halafi hiyo West Bank ndio iko mashariki mwa israel kwenye mpaka na mto Jordani, na ndio mji wa Jerusalem unapatikana nusu West Bank nusu eneo la israel,

kwa kifupi israel na palestine ni nchi moja, ila wanachukiana , upuzi mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leodigardcyrilo

JF-Expert Member
May 17, 2015
3,191
2,000
yani kama makaburu walivyotenga mikoa kwa ajili ya watu weusi ndio waisrael walichofanya kwa wapalestina, palestina ya leo inahusisha Gaza na West Bank, Gaza iko upande wa kusini magharibi mwa israel kwenye mpaka wa israel na misri (eneo la jangwa la sinai), halafi hiyo West Bank ndio iko mashariki mwa israel kwenye mpaka na mto Jordani, na ndio mji wa Jerusalem unapatikana nusu West Bank nusu eneo la israel,

kwa kifupi israel na palestine ni nchi moja, ila wanachukiana , upuzi mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Point ya mwisho ndo nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sir j

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
286
250
Nimeona mahali panasema ivi...
Joshua 1:4 New International Version (NIV)
4 Your territory will extend from the desert to Lebanon, and from the great river, the Euphrates—all the Hittite country—to the Mediterranean Sea in the west.

Yoshua 1:4

" 4 Mipaka ya nchi yenu itakuwa hivi: Kusini ni jangwa, kaskazini ni milima ya Lebanoni, mashariki ni mto ule mkubwa Eufrate, kupitia nchi yote ya Wahiti hadi bahari ya Mediteranea upande wa magharibi"
 
Kiwete

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
708

Ni upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulani
 
Sio mimi.....ni wao ndo wanazingatia sana mipaka hiyo.
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,071
2,000
Nisiwachoshe sana kama kichwa kinavyo Sema humu yashazungumzwa mengi kuhusu Israel na palestina hizi ni nchi mbili tofauti kila mmoja anajivunia yeye ndo mzawa na mengine mengi Sasa mimi shida yangu nataka kuona mpaka wa hizi nchi kwa raman {PICHA} ingawa uandishi wangu Hauna mpangilio ila natumaini nimeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya hili jambo linagusa hisia na imani za watu. Hivyo imewafanya waPalestina na waYahudi kutokutumia hekima kuamua . Badala yake wameongozwa na hisia kali inayohusiana na history yao ya kale. Vinginevyo ule mgogoro unatatulika lakini mpaka watu wakubali nipe nikupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leodigardcyrilo

JF-Expert Member
May 17, 2015
3,191
2,000
Ni upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulani
Ulitaka kuweka uzi mzuri Sema kama umetumia hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
8,768
2,000
yani kama makaburu walivyotenga mikoa kwa ajili ya watu weusi ndio waisrael walichofanya kwa wapalestina, palestina ya leo inahusisha Gaza na West Bank, Gaza iko upande wa kusini magharibi mwa israel kwenye mpaka wa israel na misri (eneo la jangwa la sinai), halafi hiyo West Bank ndio iko mashariki mwa israel kwenye mpaka na mto Jordani, na ndio mji wa Jerusalem unapatikana nusu West Bank nusu eneo la israel,

kwa kifupi israel na palestine ni nchi moja, ila wanachukiana , upuzi mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mgawanyo ni kwa mujibu wa azimio namba 181 la mwaka 1947 la umoja wa mataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
8,768
2,000
Ni upuuzi kuendekeza historia hii ya kijinga.Kama ni hivyo Buganda Empire ilikuwa inafika wapi kwa hiyo leo Kagera yote iwe sehemu ya Uganda?Mwanamotapa Empire ilichukua Msumbiji,Malawi,Zimbabwe hadi Mbeya Tz kwa hiyo tusemeje?Turudi kwenye hiyo mipaka ya kihistoria au tubakie na ya sasa?Roman Empire iliimeza Israel,palestina hadi Egypt na kubadili jiografia ya Middle East hadi wakati wa Ottoman Empire.Huwezi kuturudisha kwenye pre-historic period kutukuza makaburu fulani
Na bado kulikuwa na himaya ya Ottoman na Uingereza iliitawala dunia.Je turudi kwenye mipaka hiyo.Hawa mahafidhna wa kikiristo hujioendekeza kwa wayahudi wakati hao wayahudi hawamtambui hata hiyo Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,444
2,000
Ulitaka kuweka uzi mzuri Sema kama umetumia hasira
"leodigardcyrilo, post: 30398407, member: 289870"]Kwenye raman hamna kitu palestina mkuu
"leodigardcyrilo, post: 30398403, member: 289870"]Point ya mwisho ndo nimekuelewa
Jamaa yetu mbona unaleta maudhi? kumbe majibu unayajua lakini unataka kutusanifu au kutuchonganisha?
umeshaambiwa uzi huu utasababisha mambo ya DINI, Wayahudi, Wakristo na Waislam
mara unataka Ramani ya sasa wakati zipo Nchi nyingi tu zimebadili Ramani
umeshaambiwa Ramani ya Israel imewekwa 1947 katika Nchi ya Palestina
kwanini usiulizie Ramani ya Tanganyika na Zanzibar mipaka ni ipi? na iliwekwa lini, kuna Yemen kask na kusini kuna Yugoslavia Russia etc
achana na mambo hayo post zinazoelekea unazijua matokeo yake
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,866
2,000
haya mambo yanachanganya sana,Tangu wazungu waingie pale eti wakijifanya wayahudi,,wayahudi wa asili ndo hao wapalestine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom