SHAJARA YA MWANA-MZIZIMA:
Buriani Mwalimu Wetu Bi ‘Maalima’ Bahiya
Na Alhaji Abdallah Tambaza
JUMAMOSI ya Oktoba 19, mwaka huu, itabakia kuwa siku ya huzuni kubwa sana kwa umma wa Kiislamu wa...
LADY JUDITH LISTOWEL MWANDISHI WA ''THE MAKING OF TANGANYIKA'' (1965) KATIKA NYARAKA ZA SYKES
Lady Judith Listowel, Ally Sykes amenieleza alikuwa msanii hodari huko Uingereza bingwa wa kucheza...
SIKU AISHA ''DAISY'' SYKES ALIPOFUATANA NA BABA YAKE MSASANI KWA MWALIMU NYERERE KUHUSU HISTORIA YA TANU 1968
Hakika wengi wangependa kama historia hii niliyoandika isingekuwa kweli na watu hawa...
Kuna vijana naamini wamehamasika kutafiti na kuandika upya historia ya uhuru wa Tanganyika na kwa kweli nawapongeza na nawatakia kila la kheri katika juhudi zao hizi.
Nimesoma makala moja ya...
KUTOKA MAKTABA [emoji467] [emoji116] ⠀
⠀
HAROLD HOLD ⠀
[emoji117]Mnamo mwaka 1967 nchini Australia ulifanyika msako mkubwa Sana Baada ya kupoteza kwa aliyekuwa Waziri Mkuu HAROLD HOLD. ⠀...
Hivi wale wenzangu na mimi mnawakumbuka hawa?
1.Waziri wa Fedha Amiri Jamal
2.Waziri wa Afya Aaron Chiduo
3.Waziri wa Sheria Julie Marning
4.Waziri wa maji na nishati Al noor Kassum
5.Waziri wa...
Habari za jioni wana JF,
Natumaini wote wazima humu, na moja kwa moja niende kwenye mada.
UTANGULIZI
Leo major alikuwa mwanajeshi wa Canada ambaye aliyepigana vita mbili kubwa na kuibuka...
Waungwana wasalaam?
nakumbuka mwaka 2005 wakati wa uchaguzi mkuu viongozi wa ccm waliopo madarakani sasa walitumia maneno na majina ya ajabu kwa wagombe wenza hasa wa vyama vya upinzani mfano...
Asalam wakuu
Kwa wale waliobahatika kusoma elimu ya sekondari nchini mwetu kuna somo moja la historia, ndani yake kuna sura moja maarufu ya harakati za kudai uhuru barani Afrika ikiwemo...
Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi...
Tanzania ni Jamhuri, na ni muungano wa nchi 2, yaani Tanganyika na Zanzibar,kabla ya mwaka 1884, hapakuwa na historia ya nchi iliyoitwa Tanzania, isipokuwa zilikuwa ni tawala cha kichifu, kitemi...
Ramadhani Kingi anachangia makala yangu kuhusu safari ya Mwalimu Nyerere UNO 1955 hapo chini ndiyo aliyoandika:
''Hapa kuna kitu kikubwa sana hakijatajwa.
Ili kufanikisha safari hii ya Mwalimu...
GAZETI LA TAZAMA MRABA - NYUNDO YA WIKI
''MSEKWA AMECHANGANYA HISTORIA YA TANU''
Juma lililopita Naibu Mhariri wa JAMHURI Manyerere Jackton aliona mahali makala yangu ambayo nilikuwa nimefanya...
MZEE PIUS MSEKWA HAIFAHAMU HISTORIA YA TANU
Katika gazeti la Tazama la leo tarehe 14 Oktoba 2019 kuna makala iliyoandikwa na Pius Msekwa yenye kichwa cha habari, ‘’Mwalimu Nyerere kama...
SHAJARA YA MWANA MZIZIMA 3
Abdallah Tambaza
Kitabu kipya katika mfululizo wa Shajara ya Mwana Mzizima kimetoka.
Mfululizo wa vitabu hivi umefanikiwa kuhifadhi historia ya Dar es Salaam ambayo si...
HISTORIA YA TANU INAHITAJI MAREKEBISHO
Kunradhi: Hiyo picha katika gazeti ni ya Hamza Kibwana Mwapachu (1913 - 1962) si ya Abdulwahid Kleist Sykes (1924 - 1968).
Ni imani yangu kuwa hata wakati ule vyombo vya habari vilikuwepo, na nadhani kuna baadhi ya matukio hukidhi vile vigezo vya kuwa habari kwa wakati huo.
Swali langu ni, je hili liliandikwa? na...
NINAVYOMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
MWALIMU MTU WA WATU 6
Mwalimu alikuwa anazungumza na Profesa Malima nyumbani kwake na katika mazungumzo Mwalimu akamsikitikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.