Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hisika na mada kama uliomba chuo chochote cha kilimo cha kiserikali majibu yametoka yako vyuoni yamebandikwa, ushuhuda ya Horti Tengeru yako kwenye ubao wa matangazo wa chuo Sent from my...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu. African Business Education Initiative for Youth (ABE Initiative) 2018 Master’s Degree & Internship Program for Africans (Fully Funded to Japan)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
natafuta shule private mchepuo was PCB mwenye kunifahamisha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwema waungwana...? Nilikua naomba msaada wa utofauti wa course hiz za utalii. Tourism management inatolewa (S.U.A), science in tourism(ST.AGUSTINE) na Tourism in cultural heritage(UDOM)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba ufafanuzi. Nani anaomba (Kuna tofauti gani) Muhimbili school of midwifery and nursing na Muhimbili school of nursing? Kuna tofauti gani kati ya vyuo hivyo viwili
0 Reactions
10 Replies
6K Views
ELIMU YETU Zamani wanafunzi wakifaulu darasa zima primary mtihani unarudiwa, sasa hivi wakifaulu darasa zima pongezi nyingi sana, sasa nn maana ya mtihani? Na wakikuta mwanafnzi yuko secondary...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nisaidien jinsi ya kufanya practical ya quatlitative analysis o level Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani! Anaefahamu taratibu za kupewa leseni ya maabara baada ya kugraduate anijuze, hasa wanaitaje vigezo gani Au mwenye regulations zao anaweza ituma apa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamvi ningependa kujua mtihan wa NACTE level 4, 5 na 6 haiwahusu wa UDOM kada ya afya Pia ningependa kujua mtihani huo unakuwagaje, umekazwa ama kawaida na pia vipi uwezekano wa kupata gpa 3...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajf!!!!! Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Ikiwa ni siku chache baada ya wanafunzi wa special program kutoka UDOM kupelekwa ktk vyuo vya ualimu kwa ajili ya kuendelea...
4 Reactions
49 Replies
14K Views
walamboooo_wamojaaaa kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Wakuu nafanya application ya chuo Udom ila nimeingiza email wananiambia Invalid. Tatizo Nini wakuu au kama kuna mtu kafanya application humu anisaidie suluhu ya tatitzo hili. Asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TCU imetoa vigezo vya kujiunga na elimu ya juu, Kama wadau wa elimu ningependa tujadili hili swala la mwanafunzi ili kupata nafasi ya kusoma digrii ya afya ni lazima mwanafunzi awe na ufaulu wa...
3 Reactions
277 Replies
49K Views
Habari wana jf, nasoma lab science katika chuo cha sua nimekatutana na vijimaneno kwamba nikimaliza degree yangu ya lab SUA sipaswi kufanya kazi hospitalini kwa ajili ya tiba ya binadamu lakinini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kuna mtu yupo Uganda. Napenda kusoma hiki chuo online kwa master ya sayansi IT online. Naomba kujua uzuri wa hiki chuo. Nimeshapata usajili wa chuo. Nataka kuanza nikiwa hapa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Pilika zinanibana. Natamani kujiendeleza kielimu ila mambo mengi jamani. Hivyo nimefikiria kujiunga na Open university of Tanzania. Je inawezekana kusoma certificate, diploma hadi degree. Msaada...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na nina 3 ya 25 comb ya sayansi. Sasa nilikua naomba ushauri maana hadi sasa hivi sijui ni apply nini ila watu wamenishauri ni apply human resource and...
1 Reactions
19 Replies
17K Views
Naomba mwenye taarifa za vyuo vya afya vya DIPLOMA/certificate ya Clinical officer, lab tech, Pharmacy na nursing vya serikali anitajie tafadhali. (for form 4 leavers) 1. Lugalo, 2. Kilosa,3...
0 Reactions
3 Replies
26K Views
Kwenye Maisha tunapitia Mambo mengi, ila likija swala la Chuo kikuu au Shule inakuwa tofauti kidogo. Mimi Nakumbuka Nikiwa Mwaka wa 3 Semester ya kwanza, Niliibiwa Nguo zangu zote alafu ilikuwa...
5 Reactions
165 Replies
20K Views
Wakuu Naona tukiendelea kutegemea ajira za JPM maisha hayatasonga. Mdogo wangu ana cheti cha ualimu.Hapa home tuna frame nataka nibadili yawe madarasa kifundishia watoto wadogo km Nusery...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Back
Top Bottom