Katika hili inabidi kupitia upya mifumo ya elimu yetu

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
ELIMU YETU

Zamani wanafunzi wakifaulu darasa zima primary mtihani unarudiwa, sasa hivi wakifaulu darasa zima pongezi nyingi sana, sasa nn maana ya mtihani?

Na wakikuta mwanafnzi yuko secondary hajui kusoma wanashangaa, unashangaa nn wakat ulitoa pongezi. hapohapo akija kufeli form 4, walimu hawafundishi, makubwa!!

Wanafunzi wasiojua kusoma nao wafaulu form 4? Zaman form 2 wanafunzi wanapass kwa wastan si chini ya 30, sasa hivi wanapass kwa division, mwanafunzi mwenye D mbili anaenda form 3, halafu ushangae akifeli form 4?

My take: Katika hili inabidi kupitia upya mifumo ya elimu

Pia tuache siasa ktk maswala ya kiutendaji.

Commred Chichimizi

commred Chichimizi
 
hapo sawaa
 
mimi mtazamo wangu ni tofauti.

haiwezekani mitaala tuliyofundishwa zamani ilikuwa bora kuliko mitaala ya sasa, nilitegemea mwanafunzi anayemaliza form six leo awe na uwezo wa kutengeneza balbu...na mengine mengi
 
Kwa uelewa wako wanafunzi wengi wakifeli, na wachache wakifaulu ndio elimu bora?

Kama wanafaulu wafaulu kweli, ama kama wanafeli wafeli kweli bila kujali wingi au uchache!!

Vinginevyo Labda kama unazungumzia uhalali wa wanafunzi kufaulu ama kufeli.
 
J

commred Chichimizi[/ kubadil mfumo co kaz ndogo mkuu
 
Elimu inakufa sii muda tutaizika na mgeni rasmi atakua Ndalichako.haiwezekeni mtihani wa hesabu unakua kuchagua.kila somo kichagua alafu kwa nini elimu iwe tesult oriented? Kwan hatuko tena kwenye self reliance?mbona walimu tulifundishwa hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wako wanafunzi wengi wakifeli, na wachache wakifaulu ndio elimu bora?

Kama wanafaulu wafaulu kweli, ama kama wanafeli wafeli kweli bila kujali wingi au uchache!!

Vinginevyo Labda kama unazungumzia uhalali wa wanafunzi kufaulu ama kufeli.
Mkuu nazungumzia uhalali wa wanafunzi kufaulu wote ktk ngazi ya msingi.

commred Chichimizi
 
mimi mtazamo wangu ni tofauti.

haiwezekani mitaala tuliyofundishwa zamani ilikuwa bora kuliko mitaala ya sasa, nilitegemea mwanafunzi anayemaliza form six leo awe na uwezo wa kutengeneza balbu...na mengine mengi
Duuuh bulb heheeee toothpicks yenyewe tunaagiza China [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elimu.com

we ndo umezidi kunichosha😵😵😵
 
Back
Top Bottom