Naombeni msaada Nataka ku apply human resource

Naombeni msaada Nataka ku apply human resource

Nemes johnson

Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
35
Reaction score
11
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na nina 3 ya 25 comb ya sayansi.

Sasa nilikua naomba ushauri maana hadi sasa hivi sijui ni apply nini ila watu wamenishauri ni apply human resource and management yaani hapa hata sijui kwanza hiyo human resource yahusu nini dah yaani msaada wenu na kama nikisoma nitakua nani!!!! maana sielewii
 
mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka jana na nina 3 ya 25 comb ya sayans sa nilikua naomba ushauli maana adi sasa hivi sijui ni apply nini ila watu wamenishauli n apply human resource and management yan apa ata sijui kwanza iyo human resourc yahus nini dah yan msaada wenu na kama nikisoma nitakua nani!!!! maana sielewii
Umepata c zipi na d ya nn na nn
Pia nikukumbushe tu mwisho wa kutuma naombi ni tar 20 august bado siku chache
 
kwa kiswahili afsa mwajiri au afsa rasilimali watu..
 
utaajiriw then na wew utaajiri n kufukuza kazi kwa watomvu wa nidhamu...
 
ni kozi nzuli ila jiandae kisaikology ajira zake ni finyu..
 
soma upate cheti ukasome career nyingine..
 
soma upate cheti ukasome career nyingine..
Hata mm nakusupport,soma upate cheti cha kukuendeleza na masomo yako.Hakuna human resource officer anaeajiriwa akiwa na certificate.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Hata mm nakusupport,soma upate cheti cha kukuendeleza na masomo yako.Hakuna human resource officer anaeajiriwa akiwa na certificate.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
wenzie wana masters bado wanajitolea mpaka leo...
 
Kuna watu wana masters ya hiyo HRM hawana kazi, watendaji wa mitaa (sio kata) wanatakiwa angalau wawe na degree moja ikiwezekana yahiyo kitu, sasa wewe ukianza certificate leo mmmmmmmmmmmmhh!
Nakushauri ukasome kozi za uhasibu.
Human Resource Management ni kusimamia rasilimali watu (binadamu).
 
Tutafika tu,mpka unamaliza form 4 hujui unapenda kuja kuwa nani au umefanye michakato gani,mpaka kitu cha kusomea unaambiwa na waliokuzunguka?

Akili za usiku
 
Kwa sasa, Tazama Kozi inayoendana na Kipaji chako cha kuzaliwa Utatoka tu...
 
Maviiiiii ni 20 august shangaaaa tu kama vp ingizana hata kweny kozi za afya kama ulisoma physics na kama upo tayal acha namba inbox tufanye mchakato Mi na text ya Nacte nililipia Mara mbili
Kumbe upo kama shoga?
Sasa neno mavi hapo limefuata nn?
 
Back
Top Bottom