Matokeo yametoka kwa walioomba vyuo vya kilimo

Matokeo yametoka kwa walioomba vyuo vya kilimo

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
Hisika na mada kama uliomba chuo chochote cha kilimo cha kiserikali majibu yametoka yako vyuoni yamebandikwa, ushuhuda ya Horti Tengeru yako kwenye ubao wa matangazo wa chuo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kama hzo taarifa hapo juu ni za kweli wakuu naomba mtupie hapa hizo post niliomba ATI-MARUKU chuo cha kilimo huko Bukoba. msaada please! nawakilisha!
 
Mtandaoni huwa inachelewa sana cha kufanya tafuteni contact za watu huko chuo ulichoomba ndugu,ni za kweli maana mimi nasoma Horti Tengeru na yamebandikwa ni za kweli asilimia mia
 
Poa mkuu basi naomba msaada wa namna ya kupata contact za mkuu wa chuo cha kilimo ATI-MARUKU BUKOBA msaada wenu wadau ni muhimu juu ya hili. Shukran!
 
Poa mkuu basi naomba msaada wa namna ya kupata contact za mkuu wa chuo cha kilimo ATI-MARUKU BUKOBA msaada wenu wadau ni muhimu juu ya hili. Shukran!

Jaribu kukisearch chuo mtandaoni upate contacts zao mbali na hapo ni mpaka umpate alie au anaesoma huko,sorry mimi sina wa hiko chuo hata mmoja ninaemfahamu
 
marti aruku tayari yameshatoka maana hcho n chuo cha kilimo kwa chet tu.....kiufupi vyuo vyote vya chet tayar vimetoa majina hadi vya dploma sema hawajabandika labda hcho cha tengeru
 
marti aruku tayari yameshatoka maana hcho n chuo cha kilimo kwa chet tu.....kiufupi vyuo vyote vya chet tayar vimetoa majina hadi vya dploma sema hawajabandika labda hcho cha tengeru

Kama unakijua vizuri chuo hicho nisaidie namba zako mdau tuwasiliane yangu ni 0765005062
 
Mwaka huu 2015 vp wameachia (wamebandika) majina ya wachaguliwa.?
 
Mwaka huu selection wanaachia lini... Maana tumeomba mda sana na deadline imepita kitambo aiseeH
 
Mwaka huu selection wanaachia lini... Maana tumeomba mda sana na deadline imepita kitambo aiseeH
 
Back
Top Bottom