Mwanzo ilikuwa haipokei pesa kwa bank. Nikalipa kwa tigo pesa mambo yakawa powa. Ila nilisota wiki moja. Mbaya zaidi ukipiga simu wadada wanapokea hawaongeiWakuu nafanya application ya chuo Udom ila nimeingiza email wananiambia Invalid. Tatizo Nini wakuu au kama kuna mtu kafanya application humu anisaidie suluhu ya tatitzo hili.
Asante
Raha ya UDOM ukipiga simu na akipokea mwanaume utakuuliza, upo kwenye computer muda huu? Ukijibu ndio basi atakueleza kipengele kimoja hadi kingine mpaka tatizo lako litatuliwe.Mwanzo ilikuwa haipokei pesa kwa bank. Nikalipa kwa tigo pesa mambo yakawa powa. Ila nilisota wiki moja. Mbaya zaidi ukipiga simu wadada wanapokea hawaongei
Sent using Jamii Forums mobile app