Milambo High School

Milambo High School

joseef

Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
83
Reaction score
10
walamboooo_wamojaaaa
kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa msosi..
 
Kuna uzi upo humu mkuu utafute,utapata mengi sana ya wanaume wazee wa kimbembe.
 
daaaa kitambooo sana milambo

ukihitimu kwa ufauru milambo ya leo, sherehekea! maisha ni magumu, japo ni kawaida kwa shule za serikali, kulala ni wawili kitanda cha ft 2.5, chakula utajua mwenyewe, walimu wapo, vitendea kazi hakuna, vyoo na bafu uende giza nk nk
 
PGM Hapa 2009-2011;wanaume twendeni kachelema.
 
walamboooo_wamojaaaa
kwa wale tulioxoma milambo men(shule ya wanaume milambo) 2juane humu JF kdogo tujikumbushie shule yetuu...milambo (open university) babu msengi akiwa ndo provider mkubwa wa msosi..

Tulioxoma = tuliosoma.
2juane =tujuane.
Shule ya wavulana milambo sio ya wanaume.
 
Walambo mpo?,Ila kitaaluma mtasubiri Sana kwa waboyzia

Hahahahaaa, mnanikumbusha mkiwa Uwanja wa Mwinyi halafu na Waboyzia wakawepo, huwa ni raaaaaha. Likiibuka timbwili sasa, ndo utajua kunguru mwoga hata kama unapangusa vumbi la viatu.
 
Nimepakumbuka sana uwanjani california na mbwa mkali kwenye lile basi bovu...
 
Nilikuwa Tabora Boys 1980.tuliwachapa sana Hawa wavulana was Milambo.wanaume wa Ts sio mchezo.Tulikuwa na Makongoro Nyerere.
 
we mlambo gani s unaandika x? hizo tabia za boyzia shemeji zetu, nakumbuka milambo yetu enzi ya majubwa na mwalimu wa michezo alikua anaitwa zoma, kipindi cha kombe la mgulunde mkitoka uwanja wa mwinyi kila mnachokutana nacho njiaani ni halali yenu, tushawachapa sana tbr boyz usiku tulivamia tukaenda na tbr girls gonga sana tukarudi shule, kufika wakaja ffu kibao ukawa msala mkubwa raia kibao tulipigwa chini na wote waliobaki shule nzima wakalipishwa faini ya uharibifu uliotokea!
 
mmesoma miaka gani.... kipindi cha nyuma ilikuwa inachukua watu wa kigoma kwa olevel then tulipo lianzisha tambaza ndo tuka letwa milambo...na kuifanya hasimu na tabora boys, kabla ya hapo tabora boys ilikuwa hasimu na uyui...

a-level walikuwa ma brother men coz kifaransa kilikuwa kinafundishwa shulle nyingi za dar...
 
Back
Top Bottom