Msaada wa kujua vyuo vya serikali vya afya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,027
Reaction score
104,500
Naomba mwenye taarifa za vyuo vya afya vya DIPLOMA/certificate ya Clinical officer, lab tech, Pharmacy na nursing vya serikali anitajie tafadhali. (for form 4 leavers)
1. Lugalo, 2. Kilosa,3. Muhimbili, 4. Kibaha ........................5. .......
6. UDOM??
 
Ingia website y Nacte.go.tz kuna orodha yote ya vyuo na hizo coz unazo zihitaji
 
Naomba mwenye taarifa za vyuo vya afya vya DIPLOMA/certificate ya Clinical officer, lab tech, Pharmacy na nursing vya serikali anitajie tafadhali. (for form 4 leavers)
1. Lugalo, 2. Kilosa,3. Muhimbili, 4. Kibaha ........................5. .......
6. UDOM??
Ingia kweny guide book ya Nacte.hapo utapata orodha ya vyuo vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom