Natafuta shule private mchepuo was PCB

Natafuta shule private mchepuo was PCB

nakushauri uende chuo cha afya coz kwa advance mida hii umechelewa sana...jaribu kuapply pandahili sec school

Sent using Jamii Forums mobile app
Pandahill aende kujifunza kuvuta Sigara na Bangi .,......nina rafiki zangu wengi walienda kuharibikia Pandahill

Dogo sikushauri uende Pandahill tafuta shule strict kwa manufaa yako ERNEST TZ like St Marian
 
Kwanza haujasema uko wapii ilii tukushauri vizuri kijana

Nokia ya Torch
 
Pandahill aende kujifunza kuvuta Sigara na Bangi .,......nina rafiki zangu wengi walienda kuharibikia Pandahill

Dogo sikushauri uende Pandahill tafuta shule strict kwa manufaa yako ERNEST TZ like St Marian

Acha kupotosha watu wewe,
Panda hill iko vizuri,
Kuharibika kwa mtu ni yeye mwenyewe na sio shule
Kwa kifupi, panda hill iko vizuri, kuanzia masomo, malazi, chakula na mengineyo.
Muhuni hawezi kusoma pale maana kuna sheria kali sana. Kwa waliosoma pale wanaelewa
 
Agree to diss diss Agreee
 
Back
Top Bottom