Nijuzeni jinsi ya kupata leseni ya diploma ya maabara kwenye bodi husika

muzdalifa

Member
May 30, 2014
58
8
Jamani! Anaefahamu taratibu za kupewa leseni ya maabara baada ya kugraduate anijuze, hasa wanaitaje vigezo gani

Au mwenye regulations zao anaweza ituma apa.
 
Back
Top Bottom