Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu nchini (HESLB) imewatoa hofu wanafunzi waliokosa mikopo kwakuwa ipo katika hatua za mwisho kutoa majina ya awamu ya tatu.
Kauli hiyo imekuja ikiwa leo ni siku ya...
Ndugu wana JF mimi nipo UDOM ila mkopo umeenda MWECAU nipo nafanya taratibu kurudisha ila wasiwasi wangu ni;
Pale MWECAU ada ilikuwa 1.5M na BODI wakanilipia 1.245M ila hapa UDOM ada ni 1.2M...
Habari wanajukwaa. Naomba kujuzwa jinsi ya kuhama chuo kwa waliodahiliwa na NACTE mwaja huu maana natafuta option hiyo kwenye profile siioni. Natanguliza Shukrani
Nimefanikiwa kupata mkopo lakini nimepata boom tu shida inakuja kuwa mkopo umetumwa mwalimu nyerere memorie lakin mm nili confirm Mocu na nimeshafanya registration naomba msaada wenu kitu cha kufanya
Ikiwa wewe ni msomi, na umepata nafasi ya kufanyiwa interview mahala fulani, ukakutana na swali linalo sema " kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa"" . Utatoa hoja zipi...
Jaman wanaJF hivi kuna ukweli wowote kuhusu wanafunzi waliopata mkopo 3rd batch mbona karibu wote wamepewa meals&accommodation tu NA ada hatujalipiwa Mimi nakaribia kukata tamaa ya kusoma jaman...
Nipo njia panda wadau, nafanyaje hapo nilikua kwenye multiple selection, second around (nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja) mimi nilicomfirm UDOM na mpaka admission letter wakanitumia...
Habari zenu wakuu!!
Nina mdogo wangu yupo kidato cha nne na ana mpango wa kwenda technical college na sio form five sasa naombeni mnipe orodha ya vyuo vya ufundi vya serikali vinavyowachukua...
Kuna maneno maneno huku wengine wanasema ni Bora waombe kurusha mwaka ili wasome mwaka ujao watafute ada kwanza,
Kama ni kweli mkopo wa 27,000 na 8000 unamsaidia nini Mwanafunzi? naomba ufafanuzi
Anayefahamu muongozo wa mitihani ya wizara(NACTE) katika hiyo koz je ipo kwa kila level yaani cmt04,cmt05,cmt06 au ipo vip hiyo
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu.
Nimejaribu mara kadhaa kuingia kwenye website ya chuo kikuu cha Dar es Salaam nakutana na haya maneno.
Aneejuana nao awaambie ili watu tupate taarifa tunazozitaka.
Vurugu katika udahili uliotokana na multiple selections wa kulaumiwa ni heslb. Vyuo vimecheza rafu mbele ya refarii TCU aliyegeuka kuwa mtazamaji!
Vyuo vimekuwa vikiwang'ang'ania wanafunzi kwa...
Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Awam ya 1&2 sikupata mkopo
Lakin awamu ya 3 jina langu lipo kwenye list lakini cha kushangaza nikiingia kwenye account yangu nakutana na maandishi yaliyo kati ya mstari mwekundu yanadai
"The loan...