Msaada: Je bodi watanipa mkopo wote?

Msaada: Je bodi watanipa mkopo wote?

JMP Mchungu

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
49
Reaction score
127
Ndugu wana JF mimi nipo UDOM ila mkopo umeenda MWECAU nipo nafanya taratibu kurudisha ila wasiwasi wangu ni;

Pale MWECAU ada ilikuwa 1.5M na BODI wakanilipia 1.245M ila hapa UDOM ada ni 1.2M! Je,mkopo ukirudi watarudisha hiyo hela yote au wanafanyaje hapo?? maana wakirudisha wote sitatakiwa kulipa chochote labda michango mingine! naomba msaada
 
Kuna mtu anafanya kazi HESLB anaweza kujibu swali hilo. Nikupe namba yake ya simu?
 
Ndugu wana JF mimi nipo UDOM ila mkopo umeenda MWECAU nipo nafanya taratibu kurudisha ila wasiwasi wangu ni;
Pale MWECAU ada ilikuwa 1.5M na BODI wakanilipia 1.245M ila hapa UDOM ada ni 1.2M! Je,mkopo ukirudi watarudisha hiyo hela yote au wanafanyaje hapo?? maana wakirudisha wote sitatakiwa kulipa chochote labda michango mingine! naomba msaada
Hapana mkuu, swali lako ni rahisi na jibu lake ni hivi:
Wanaangalia asilimia ulizopata kwa mfano kwa maelezo yako apo MWECAU ulilipwa kama ulivosema ni 1.245M hiyo ni 83% ya ada yote na ukibadili course au ukibadili chuo yenye course yenye ada tofauti tunapigia asilimia iyo iyo uliyopewa mkopo kwa mara ya kwanza. Hivyo apo UDOM utalipiwa 83% ya 1.2M ambayo ni laki 9 na 96K
 
MKUU JIBU NI RAHS SANA

ADA INALIPWA KWA % YA ADA YA CHUO UNACHOSOMA.

KAMA UDOM ADA NI 1.2M UTALIPIWA % YA MKOPO ULIOPATA, KAMA MKOPO UMESHALIPWA MWECAU BS WATALAZIMIKA KUREJESHA HELA INAYOZD VINGNEVYO UTAKUJA KULIMBIKIZIWA DENI LA MWSHO

NB:
HELA YA ADA HAIFIKI MKONON MWA MWANAFUNZI INALIPWA DIRECT KWENYE AKAUNTI YA CHUO, MWANAFUNZI UNAPOKEA HELA YA CHAKULA, MALAZI NA STATIONERY TU.
 
Jifunze kuisemea nafsi yako!

Ni bora ukaenda huko mkopo wako ulikoelekezwa kuliko kufanya process za kuuhamisha, nasema hivi kwa sababu utapata shida sana
Hii issue si ya siku wala mwezi kukamilika
Utaishi chuo bila boom hata kwa miezi miwili kuelekea semista nzima, utazungushwa sana labda kama unatokea familia bora boom lisiwe la lazima

Lakini kama unategemea boom, nakushauri nenda huko Mwecau though sijajua umechaguliwa cozi gani kila upande
 
Back
Top Bottom