Nilicomfirm UDOM lakini mkopo nimepangiwa chuo kingine

Uswiss

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
842
2,160
Nipo njia panda wadau, nafanyaje hapo nilikua kwenye multiple selection, second around (nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja) mimi nilicomfirm UDOM na mpaka admission letter wakanitumia..

Nashukuru Mungu na mkopo nimepata awamu hii ya tatu lakini bodi wenyewe kwenye account yangu mkopo umekua allocated chuo kingine ( IAA) ambacho sikucomfirm.. mpaka sasa nilikua bado sijareport udom bado nipo home..

Ushauri wenu wadau hapo nafanye nini?? Je niende Tu IAA watanielewa maana vyuo vyote nilipangiwa programme(course) moja .. au inakuaje hapo maana hata sijui nianzie wapi.
 
nipo njia panda wadau, nafanyaje hapo nilikua kwenye multiple selection, second around (nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja) mim nilicomfirm udom na mpaka admission latter wakanitumia.. nashukuru mungu na mkopo nimepata awamu hii ya tatu lakini bodi wenyewe kwenye account yangu mkopo umekua allocated chuo kingine ( IAA) ambacho sikucomfirm.. mpaka sasa nilikua bado sijareport udom bado nipo home.. ushauri wenu wadau hapo nafanye nini?? je niende Tu IAA watanielewa maana vyuo vyote nilipangiwa programme(course) moja .. au inakuaje hapo maana hata sijui nianzie wapi.
Kama ni kozi moja angalia factor nyingine like wapi kuna mademu wazuri, hali ya hewa ni favored kwako, ni mkoa upi ulitaman kwenda, chuo kipi kinauzika kitaa and so on. Kusoma ni zaidi ya kuingia darasani mkuu
 
hapo me naongelea kuhusu mkopo mkuu kuhusu chuo sijarii sana me naweza kusoma popote pale
 
Ukienda udom itakua ni hasara maan mkopo utaingia iaa af badae utakuja kudaiwa atakam haukuutumia...mwishowe muhasibu wa iaa ataishia kupiga mkopo wko tu kiulaini af baadae uje kulipishwa wewe!
 
Usumbufu unaweza ukawepo na inaweza kupelekea usipate boom kwa hiii awamu ya kwanza lkin utakavyopata utapata yooote
 
nipo njia panda wadau, nafanyaje hapo nilikua kwenye multiple selection, second around (nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja) mim nilicomfirm udom na mpaka admission latter wakanitumia.. nashukuru mungu na mkopo nimepata awamu hii ya tatu lakini bodi wenyewe kwenye account yangu mkopo umekua allocated chuo kingine ( IAA) ambacho sikucomfirm.. mpaka sasa nilikua bado sijareport udom bado nipo home.. ushauri wenu wadau hapo nafanye nini?? je niende Tu IAA watanielewa maana vyuo vyote nilipangiwa programme(course) moja .. au inakuaje hapo maana hata sijui nianzie wapi.
Nenda Udom wajulishe watajuza HESLB mkopo wako utaletwa Udom!!
 
Tatzo Hilo Hilo kuna dogo Ali confirm udom Lakin mkopo umeenda SMMUCO.... Alafu udom alichahuliwa bachelor of art in geography and environmental studies..... Alafu smmuco kachaguliwa bachelor of art in education... Na mkopo kapata 94% Sasa dgo afanyeje na Paka Sasa alkuwa bado hajaripoti kokote
 
Aongee na afisa mkopo wa Udom atashughulikia matatizo hayo yeye atajulishwa tu!
 
MM nimekuwa mhanga nl comfirm UDOM mkopo ukaenda MWECAU ila leo nimeongea na afisa mikopo kasema anafanya taratibu ili mkopo wangu urudi UDOM
 
em nielekeze huyo afisa mikopo unaongea nae vp? nampataje huyo afisa mikopo?
 
Mimi nimepata ajira serikalini pamoja na mkopo katika chuo nisicho confirm sasa nataka mkopo niuhamishie open university.
Nifanyaje?
Na je kama siutaki mkopo wao ili niendelee tu na job. Kuna hatua zozote za kufuata?
 
Nenda UDOM kisha toa taarifa ila mkopo wako utachelewa sana kuupata, mpaka wenzako wakiwa wanapata mkopo wa pili, huko kwingine hukuthibitisha, haitakua rahisi kukopokea!!
 
Open mkopo haiwezakani
Andika barua kwenda bord ya mikopo wasitishe mkopo vinginevyo utaisoma namba kwenye mshahara wako!!
 
Nenda UDOM kisha toa taarifa ila mkopo wako utachelewa sana kuupata, mpaka wenzako wakiwa wanapata mkopo wa pili, huko kwingine hukuthibitisha, haitakua rahisi kukopokea!!
kwa hiyo na ada ntatakiwa nilipe yote tu kama ambaye ajapata mkopo uku nikiendelea kusubiri utaratibu au inakuaje hapo mkuu ?
 
Back
Top Bottom