Naomba kujuzwa kuhusu Aggrey teachers college

Naomba kujuzwa kuhusu Aggrey teachers college

mpenda aman

Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
16
Reaction score
1
Kwa anayekifaham chuo cha aggrey vizur kuhusu taaluma ya ualimu secondary na mazingira kiujumla
 
Mazingira ya vyumba vya kulala ni mabaya asikwambie mtu hila kama utapanga kupo vizuri sana ila adi kengele mnapigiwa na uniform mnazo nyeusi na mashati meupe
 
Back
Top Bottom