MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 127
Habari zenu wakuu!!
Nina mdogo wangu yupo kidato cha nne na ana mpango wa kwenda technical college na sio form five sasa naombeni mnipe orodha ya vyuo vya ufundi vya serikali vinavyowachukua kidato cha nne kwa ufadhili wa serikali. Anataka kujaza sel form