Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakusanyika ofisi za bodi ya mikopo kushinikiza wapewe mkopo kwakuwa wana sifa zinazostaili kupewa mkopo. Swali la kujiuliza, mbona tumeaminishwa kuwa hakuna mwanafunzi...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu kuna jambo linashanganza sana katika elimu. Tutasingizia walimu lakini matatizo ya elimu yameanzia juu kabisa. Kwa kawaida kitabu kinapoandikwa hukaguliwa kabla ya kwenda katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza nipende kuwapongeza wanafunzi wote mliochaguliwa UDSM, na pia niwape pole kwa changamoto za ugeni na 'jokes' kutoka wanafunzi wazoefu Dhumuni la kuandaa uzi huu ni kuwataka mjitafakari na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadharii...!
0 Reactions
5 Replies
888 Views
Naomba kusaidiwa jamani pesa ambayo inaingia kwenye account ya chuo ni ipi na pesa ya kujikimu ni ipi kutoka kwenye ule mgawanyo (loan breakdown wa Heslb)........!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko ya maisha ya kila siku. Nina mdogo wangu kapata vyuo viwili kwa elimu ya shahada, Mzumbe kapata public adminstration na IFM kapata insuarance . Ushauri ni course gani asome...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna kipindi fulani kimepita serikali ilitoa nafasi za kujiunga na course mbalimbali. Ambazo walisema zinatolewa bure. Je kuna waliopigiwa simu??
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa kutumia mfano wa nchi kama Kenya wao wanaishia kidato cha nne na wanaingia vyuo vikuu na vyuo vya kawaida huku content zao karibia ni kama za kwetu na miaka ya vyuo vikuu ni kama yetu. Kwa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nawezaje kuhakiki taarifa zangu za vyeti Diploma na degree kwa kutumia internet source bila kwenda TCU au NACTE? Karibuni wazee kwa msaada kwani nipo mbali na bongo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani naomba kuuliza wadau! Hivi ni kweli waliochaguliwa muhimbili mwaka huu batch ya 3 wamerudushwa nyumbani sababu nafasi zimejaa Naomba kujuzwa mapema wanandugu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu na hili Naona watu wengi wanaosoma school of sopam mzumbe university kama bhsm ,bhrm,bpa na wengine hawajapewa hela ya field. Naomba kufahamishwa Mimi nachukua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari, jamani mwaka jana nilipangiwa chuo fulani private iringa kutokana na kukosa mkopo ikabidi niache chuo nirud nyumbani, sasa mwaka huu nimeapply udsm nimepata sasa inshu...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
TCU wametoa tangazo la wale waliokumbwa na kadhia ya multiple selection na walio omba tena baada ya kuwa approved. Mimi binafsi nafahamu kesi mbili za watu waliotupwa kwenye kundi ambalo...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau. Nahitaji kujuzwa. ni Wapi naweza kupata mafunzo ya lugha ya kifaransa? Matumizi tarajiwa ni kifaransa as a working language. Plain kuandika, Kusoma na kuongea.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je kukata rufaa kwenye bodi ya mikopo HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au pia ni hata kwa wale ambao majina yao hayajatokea kwenye list ya wanufaika wa mkopo kutoka HESLB???
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hivi kweli TCU NA Serikali hamjaona watoto wanavyoteseka na kukosa nafasi vyuoni? Kweli Elimu siyo priority I can see!!!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Wakuu husika na hiko kichwa juu Wanabodi kumekuwa na wimbi la wanafunzi wa mwaka wa kwanza kukosa hostel,hii imepelekea baadhi ya wenzao kuwasaidia kukaa nao pamoja(kubebana) na kuna baadhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbona batch ya tatu ya wanufaika wa mkopo kutoka Heslb ina majina 7901 kati ya 8323 yaliyotarajiwa ili jumla ya majina yote yawe 30000 kama Heslb walivyotangaza. Je majina 422 yaliyosalia kutakuwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau heshima kwenu! Nina mdogo wangu kapangiwa chuo RUCO na jina lake limeonekana batch 3 kuwa kapata mkopo hivyo sijajua ni kwa kiasi gani ili nijue wajibu wangu ni Nguvu kias gani inahitajika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba ushauri.... Mdogo wangu kachaguliwa chuo kikuu mzumbe, kusoma bachelor of Procurement but yeye anataka kubadilisha asome bachelor of Insurance, anadai procurement ngumu, Wanajamvi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom