mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,191
- 19,115
Vurugu katika udahili uliotokana na multiple selections wa kulaumiwa ni heslb. Vyuo vimecheza rafu mbele ya refarii TCU aliyegeuka kuwa mtazamaji!
Vyuo vimekuwa vikiwang'ang'ania wanafunzi kwa kudai kuwa wameconfirm wakati wengine siyo! Hii imesababisha kuchelewa kwa mchakato wa mikopo na wengine kusababishia kukosa kabisa. Katika yote haya refarii amekuwa kimyaaaa utafikiri hayupo!
PENDEKEZO: Mwakani TCU ichukue dhamana ya kusimamia confirmation za wanafunzi wenye multiple allocations. Hii ifanyike online kwenye tovuti ya TCU.
Hii itazuia rafu tuliyoishuhudia mwaka huu! Tusirudi tulikotoka Bali tuboreshe kwa kufanyia kazi changamoto za mwaka huu ikiwemo rafu ya baadhi ya vyuo kama Mzumbe, University of Iringa (ambao Nina uhakika na rafu zao)!