Bodi ya mikopo mbona mnaninyima raha?


JOMAKIBU

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Messages
531
Likes
33
Points
45
JOMAKIBU

JOMAKIBU

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2015
531 33 45
Awam ya 1&2 sikupata mkopo
Lakin awamu ya 3 jina langu lipo kwenye list lakini cha kushangaza nikiingia kwenye account yangu nakutana na maandishi yaliyo kati ya mstari mwekundu yanadai
"The loan was not located at the first batch"
ushauri wenu tafadhali
Nawasilisha
 
L

la stalavista

Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
69
Likes
15
Points
15
L

la stalavista

Member
Joined Oct 8, 2017
69 15 15
ilikua hawajaweka asaiv inasoma ingia utakuta allocation yako
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,342
Likes
1,925
Points
280
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,342 1,925 280
ok. hilo ni tatizo dogo mkuu....
 
trigeminal

trigeminal

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Messages
1,689
Likes
1,468
Points
280
trigeminal

trigeminal

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2015
1,689 1,468 280
Mbona inaeleweka kabisa hiyo "was not allocated at the first batch" ila umekua allocated kwenye third batch ,uko vizuri tayari ndugu ,jina litaenda chuo utasign
 

Forum statistics

Threads 1,213,113
Members 461,948
Posts 28,467,517