Nimepata mkopo ila mbona majanga? Msaada

JMP Mchungu

Member
Jun 30, 2015
49
125
Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
 
Hamisha mkopo kutoka mwenge kuja UDOM japo itachukua mda Usiwe na hofu inawezekana....Tafta mawasiliano nao.
 
Process ni zp na inachukua mda gan mpaka mkopo kuhama??
Kwanza nenda kwa Loan Officer wa Chuo chako mweleze atakupa Mwongozo pia anauwezo wakushughulikia tatzo lako na ukabaki kupata taarifa....Kuhusu mda hamna fixed time inategemeana na Ufuatiliaj wako au loan officer wako na wa hcho chuo kingne. Ahsante
 
Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Mkuu round ya ngapi umepata ???
 
Hapo fatilia chuoni kwako ulikochaguliwa utaamishiwa hukoo japo.kwa kuchelewa maana ni process..! Sema siku utakayoingiziwaa kituu itasomaa tarakimuu flani hivii amaizing..
 
Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
Nenda tcu kama vp nicheq PM nikujuze zaid jana nilikuwa bodi ya mikopo waldai TCU ndio wenye mamlaka
 
Muelekeze mwenzio, hivyo ungeandika comment moja kwa moja hapa kueleza kinachotakiwa ama responsibility ya tcu katika hili ungekuwa umesave mda na jamaa. Hasa ishu kama hii ni ya pm mkuu?
 
Watu wengine sijui wakoje hajui kupitia hapa anawasaidia na wengine
 
Muelekeze mwenzio, hivyo ungeandika comment moja kwa moja hapa kueleza kinachotakiwa ama responsibility ya tcu katika hili ungekuwa umesave mda na jamaa. Hasa ishu kama hii ni ya pm mkuu?
Anataka labda ampige na kizinga cha mpunga mkuu c unajua vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom