Wakuu,
Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake.
Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio...
Wilaya ya Hanang’i iliyopo Kaskazini mwa Tanzania bado inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vifaa vya maabara licha ya nguvu kubwa ya wananchi iliyotumika kujenga majengo ya maabara katika shule za...
Habari za asubuhi wadau wa elimu. Kama tujuavyo , walimu ni msingi mkuu wa maendeleo ya taifa lolote duniani. lakini katika taifa letu ualimu umekuwa ukionekana kama ni taaluma ya watu wanaotoka...
Wanajukwaa, naombeni kujuzwa na wenyeji wa hapa Dom napata wapi tuition nzuri kwa mtoto wa class four primary schools? Moderator wameedit heading
Nisaidieni
Habarini wanajf
Naomba kufahamishwa chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa mitambo kama Caterpillar, Greda, kijiko nk. Ninapenda kujua vyuo, mahali vilipo, jina la course pia na gharama kama...
Waungwana kwa waliosoma lute tukutane hapa tukumbushane mambo ya kipwela,kala,ngopyolo ushirika na tukuyu kwa ujumla,leo nimeikumbuka ghafla shule yangu iliyonitoa ujinga enzi za kina V.Minga,mama...
Licha ya pilika nyingi na utafutaji wa kimaisha kuniweka busy nimeshauri halmashauri yangu ya kichwa kurudi katika ulingo wa kusoma tena, ili shughuli zangu za kimaisha ziende na huku ninasoma...
Serikali kupitia Wizara ya elimu, imewataka wanafunzi wote wa elimu ya juu ambao hawajapata mikopo wachangamkie fursa ya kukata rufaa iliyotolewa na bodi ya mikopo kuanzaia jana, Jumatatu, Novemba...
Yaelekea bodi imefungua dirisha hilo kimyakimya bila Tangazo lao katika website yao.
Kwa waliokosa mkopo ukiingia katika akaunti zenu pale chini wameweka sehemu ya kukata rufaa(Appeal now). Ila...
Lile agizo la jana la spika wa bunge kuitaka serikali kuja na kauli juu ya hatima ya wanafunzi wengi kukosa mikopo na wengne kutakiwa kulipa kwanza ndo wasajiliwe.
Mwenye taarifa tafadhali.
Hoja ya msingi ya spika iliyokuwa inataka majibu ya serikali ni hii hapa:
Vyuo vyote vinadai malipo mengine kabla ya kusajiliwa na ambayo hayapo kwenye boom. Malipo haya ambayo ni lazima...
TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia TAARIFA zinazosambaa kwenye Mitandao ya kijamii kama jamiiforum na mengineyo. Wizara Ya MIKOPO TuMaSo inapenda kuutangazia UMMA wa WanaTuMa na jamii kwa ujumla UKWELI wa...
Wanafunzi mwaka wa pili na wa tatu katika chuo cha TUNAINI UNIVERSITY MAKUMIRA bado hawajapata stahiki zao za chakula na malazi pamoja na kwamba kuna baadhi ya vitivo vimeshasain tangu ijumaa...
Tuliposema tunasaidia elimu ya sekondari BURE tuliwaaminisha wazazi kuwa ni masikini hawawezi changia hiyo elf.20 kwa mwaka tukasema ELIMU BURE.
Huyu aliyesoma bure kwa umaskini wake akifika chuo...