Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,314
- 760
Yaelekea bodi imefungua dirisha hilo kimyakimya bila Tangazo lao katika website yao.
Kwa waliokosa mkopo ukiingia katika akaunti zenu pale chini wameweka sehemu ya kukata rufaa(Appeal now). Ila ukiingia inazungumzia rufaa ya mwaka jana 2016/2017.
Yaonekana kama hawakujiandaa labda watafanya marekebisho, pia labda tangazo lao litakuja na kutoa muda wa mwisho wa rufaa na idadi ya watakaopata kwani sasa ni dhahiri hakuna nafasi maalum kwa kuwa sasa hivi wanufaika ni zaidi ya 31,200 tofauti na kauli ya mwanzo kuwa wanufaika ni 30,000 tu.
Tusubiri kesho tar. 13/11 kama Waziri alivyosema watafungua dirisha la rufaa.