Tuition nzuri kwa masomo ya O-level inapatikana wapi hapa Dodoma?

Tuition nzuri kwa masomo ya O-level inapatikana wapi hapa Dodoma?

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Posts
1,128
Reaction score
1,497
Wanajukwaa, naombeni kujuzwa na wenyeji wa hapa Dom napata wapi tuition nzuri kwa mtoto wa class four primary schools? Moderator wameedit heading
Nisaidieni
 
Kulikuwa hakuna umuhimu wa kututajia shule anayosoma kosa la kwanza hilo.. Angekuwa anasoma St. Kayumba ningekuelekeza lakini St. Malikia hizo mnajionaga sana ze ze ze zinakuwa nyingi
 
Kulikuwa hakuna umuhimu wa kututajia shule anayosoma kosa la kwanza hilo.. Angekuwa anasoma St. Kayumba ningekuelekeza lakini St. Malikia hizo mnajionaga sana ze ze ze zinakuwa nyingi
Hahahaha mkuu. Nime edit kwa heshma yako. Haya nambie
 
Yupo shule gani Dodoma..??? Kama vipi tafuta mwalimu wa shule anayosoma, mpe dili.
 
Ukakasi:

"Mkuu master jovin wapi na wapi na watoto wa class four mkuu?? "

Au huyu master jovin ni mwingine ??
Niliwahi kumuuliza kwanini unajiita master akasema sababu anaweza kufundisha kwanzia watoto wa primary mpk chuo kikuu
 
Nenda hapo jamhuri zipo mpaka usiku kule hostel za chamwino
 
Back
Top Bottom