Tujikumbushe ahadi za Rais kuhusu kuwapatia wanafunzi mikopo

Kuna watu kipindi cha uchaguzi ukiwaambia umuhimu wa kupiga kura huwa wanajibu hivi "kura yangu moja itasaidia nini, haiwezi kusaidia chochote".
Ndiyo haya mambo sasa!!!!
 
alikua anadhani fedha zinachotwa tu bila kutafutwa/kuzalishwa? mwenzake alitoa mikopo na hakukata hizo asilimia 15 yeye pamoja na kuzikata bado mikopo shida
 
Sjui hz hutuba zake anaziangaliaga kweli ila inaskitisha sana mijitu na akili yao wanakuja kutetea hyo ni akili au matope
 
Back
Top Bottom