Msaada kwa waliosoma/wenye uelewa wa Open University of Tanzania

immasakha

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
489
281
Licha ya pilika nyingi na utafutaji wa kimaisha kuniweka busy nimeshauri halmashauri yangu ya kichwa kurudi katika ulingo wa kusoma tena, ili shughuli zangu za kimaisha ziende na huku ninasoma nimeona njia nzuri ni kujiunga na open University kwa ngazi ya shahada ya kwanza.

Kutokana na hayo kwa wale waliopitia na wenye uelewa wa chuo hicho ninaomba mnipe changamoto zake Ili niweze kuzikabili mapema pale ambapo itawezekana.
 
Back
Top Bottom