kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,243
Wakuu kwema?
Nataka kufanya MBA kwa distance learning kutoka vyuo vya nje ya nchi hasa napendelea vyuo kutoka nchi za uingereza,marekani na south Africa.
Naomba kufahamishwa vyuo husika vinavyotoa elimu kwa njia ya masafa kutoka nchi hizo nilizozitaja.