Vyuo vizuri vya information technology kwa level za certificate, dsm!

Vyuo vizuri vya information technology kwa level za certificate, dsm!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,452
Reaction score
17,927
habari zenu wakuu..

.. poleni kwa mihangaiko yenu ya hapa na pale, pia napenda kuwapa pole wale wenzangu wooote waliokosa mikopo!

wakuu, naomba kufahamu ni vyuo gani vizuri kwa mkoa wa dar es salaam ambavyo vinatoa mafunzo bora ya information technology kwa level ya certicate. naomba pia kufahamishwa na gharama zao kiujumla!!

nina mpango wa kusoma course hii ambayo baada ya muda itakuja nisaidia kufanikisha malengo yangu!

mimi niko mwanza kwa sasa!!

nawasilisha!
 
Mkuu kama una experience na Unique tafadhali tupatie, najua gharama yao iko juu lakini sijajua kama ni worth it. Ukiwalinganisha na UCC (ya UDSM) unashaurije?
 
Ni na experience nao wako vizuri sana sioni chuo mfano wa hicho chuo.kwanza idadi ya wanafunzi huwa ndogo pili wanamiundo mbinu mizuri yakufundishia,wana fundisha vizuri hawana mchezo katika kufundisha nenda hutajutia hata kidogo.mimi nimewapeleka vijana wengi pale na wametoka wapo vizuri na wanaajira.ila pale huwa hawajui kubembeleza wala kushawishiwa usome nini cha msingi uende pale ukijua kabisa unataka usome nini

Mkuu ahsante sana kwa maelezo yako. Kama unaweza nifafanulie hapo penye nyekundu kwani kijana ninaemfikiria anataka course ya ICT anzie na certificate ingawa sijajua anaijua kiasi gani hiyo field na sasa ndo yuko F4. Nia yangu ni kumsaidia kwa kupitia wataalamu aelewe yanayojiri kwenye hiyo program na apate ufaulu unaotakiwa. Nitashukuru.
 
Back
Top Bottom