Jinsi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu wa shule za msingi, Naomba msaada

Apr 3, 2013
53
0
Kwa yeyote anaejua, Naomba msaada wa kufahamu vyuo vya private vinachukua hadi GPA ya ngapi kwa wale wenye PASS ? Maana yake ni kwamba.

GPA ya mwisho kuchkuliwa kwa vyuo vya private na ngapi ?
 
Mwaka jana 2014 Julai vyuo vya serikali vilichukua Div I - III. Vyuo vya private viliruhusiwa kwa mwaka huo tu kuchukua Div. IV ya aidha point 27 (zamani) au 32 ya BRN. Mwaka huu kwa vyuo vyote itakuwa Division I (Distinction), Division II (Merit) na Division III (Credit). Ualimu wa Division IV (Pass) HAKUNA. NECTA kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu wamekaza kamba. Jaribu fani nyingine ndugu. Kwa ufafanuzi wa madaraja soma jedwali.
DISTINCTIONMERITCREDITPASSFAIL
GPA3.6 - 5.02.6 - 3.51.6 - 2.50.3 - 1.50.0 - 0.2
Vyuo vya Private vimeanzisha kozi kwa waliopata Division IV kwa walimu watakaokwenda kufundisha Shule za English Medium. Tahadhari: NECTA haitatoa mitihani wala vyeti kwa walimu hawa. Tumia akili yako kusoma fani hii kwani haitambuliki rasmi na NECTA wala wizara ya elimu.
 
Hatutaki walimu waliofeli. pia ualimu wa Leo si kimbilio la waliofeli. kama umefeli nenda kalime kijijini; mm nilioata dv II ya point 10 Adv, na GPA ya 3.85 SAUT.

Mimi na walimu wenzangu tulioingia kwenye ualimu kwa kufaulu vizuri n kwa kuipenda fani ndio tunaotakiwa ili kusaidia kuinua elimu ya TZ.

sipendi mtu aliefeli au kufaulu kidogo ndo eti akawe mwalimu wa kesho, walimu wa namna hii ndo wale walio sharo hata kwenye kujibu maswali madg ya watoto.
 
hatutaki walimu waliofeli. Pia ualimu wa leo si kimbilio la waliofeli. Kama umefeli nenda kalime kijijini; mm nilioata dv ii ya point 10 adv, na gpa ya 3.85 saut.

Mimi na walimu wenzangu tulioingia kwenye ualimu kwa kufaulu vizuri n kwa kuipenda fani ndio tunaotakiwa ili kusaidia kuinua elimu ya tz.

Sipendi mtu aliefeli au kufaulu kidogo ndo eti akawe mwalimu wa kesho, walimu wa namna hii ndo wale walio sharo hata kwenye kujibu maswali madg ya watoto.

hata mimi ni mwalimu nina miaka 24 kazini sitaki kusikia hiyo. Kwa elimu ya sasa hivi ilivyochakachuliwa ukipata chini ya credit hufai kwa kozi yoyote.na kama kuna kozi watakukaribisha kazini utakuwa mbabaishaji mbaya!
 
Hatutaki walimu waliofeli. pia ualimu wa Leo si kimbilio la waliofeli. kama umefeli nenda kalime kijijini; mm nilioata dv II ya point 10 Adv, na GPA ya 3.85 SAUT.

Mimi na walimu wenzangu tulioingia kwenye ualimu kwa kufaulu vizuri n kwa kuipenda fani ndio tunaotakiwa ili kusaidia kuinua elimu ya TZ.

sipendi mtu aliefeli au kufaulu kidogo ndo eti akawe mwalimu wa kesho, walimu wa namna hii ndo wale walio sharo hata kwenye kujibu maswali madg ya watoto.

kumbe umesoma chuo cha kata SAUT? nadhani huna haja ya kuwakatisha tamaa madogo, kwa sababu sisi tuliosoma UDSM tutakuona na wewe umefeli maana hizo alama zako huna sifa ya kusoma chuo cha Taifa. Huko vyuo vya kata gpa inauzwa kama njugu.
 
Hatutaki walimu waliofeli. pia ualimu wa Leo si kimbilio la waliofeli. kama umefeli nenda kalime kijijini; mm nilioata dv II ya point 10 Adv, na GPA ya 3.85 SAUT.

Mimi na walimu wenzangu tulioingia kwenye ualimu kwa kufaulu vizuri n kwa kuipenda fani ndio tunaotakiwa ili kusaidia kuinua elimu ya TZ.

sipendi mtu aliefeli au kufaulu kidogo ndo eti akawe mwalimu wa kesho, walimu wa namna hii ndo wale walio sharo hata kwenye kujibu maswali madg ya watoto.

Kwa vile kafeli ndo hana.option nyingine? Unadanganya,option.za kusoma course tofauti upo tu,Course za ualimu kwa level ya Certificate ndo zenye masharti magumu lakini.course nyinginr tofauti na ualimu masharti yake wala siyo magumu.Pia vijana wasidharau Course za VETA zipo vizuri,zinamuwezesha mtu kujiajiri.
 
Mchangiaji ambaye ni.mwalimu natarajia achangie tofauti.na mtu ambaye sio mwalimu hasa pale mtu anapoomba ushauri wa kitu.Kama unataka ushauri wako mtu aulipie ni bora kuwa muwazi kwa kumpa mtu contacts kuliko kuwatisha na kuwakatisha tamaa watu.
 
Kwa vile kafeli ndo hana.option nyingine? Unadanganya,option.za kusoma course tofauti upo tu,Course za ualimu kwa level ya Certificate ndo zenye masharti magumu lakini.course nyinginr tofauti na ualimu masharti yake wala siyo magumu.Pia vijana wasidharau Course za VETA zipo vizuri,zinamuwezesha mtu kujiajiri.

Yeye si kaomba maelezo kuhusu ualimu?au hujaelewa hapo juu na ndio maana hatuwezi kumueleza kuhusu veta angeomba ushauri wa pass yake angepata option kibao
 
Mm naona hata kama kafeli si vizuri kumkatisha tamaaa,anyway wabongo ni nuksi sana hasahasa wakifanikiwa,ushauri:kijana usikate tamaa unaweza soma certificate ualimu kama una D nne,na pia jaribu kuingia kwenye tofuti za necta utapata maelekezo kaka.....
 
Hatutaki walimu waliofeli. pia ualimu wa Leo si kimbilio la waliofeli. kama umefeli nenda kalime kijijini; mm nilioata dv II ya point 10 Adv, na GPA ya 3.85 SAUT.

Mimi na walimu wenzangu tulioingia kwenye ualimu kwa kufaulu vizuri n kwa kuipenda fani ndio tunaotakiwa ili kusaidia kuinua elimu ya TZ.

sipendi mtu aliefeli au kufaulu kidogo ndo eti akawe mwalimu wa kesho, walimu wa namna hii ndo wale walio sharo hata kwenye kujibu maswali madg ya watoto.

Umesoma SAUT na bado unasumbua watu namna hiyo je ungeipata hiyo GPA Udsm si ndo tungekufa humu ndani, mtu kuomba ushauri we badala ya kumshauri unaleta habari zako za SAUT na GPA uchwara! Peleka kule kule KI-GPA chako..... hupendi walofeli waende ualimu we umekuwa wizara au ndo waziri wa wizara husika.. Toa ushauri sio kumkatisha mtu tamaa, we mwenye hukufaulu vizur ndomana ukaenda SAUT ungefaulu vizur ungetuletea GPA ya mlimani sio ya chuo cha kata hicho
 
hata mimi ni mwalimu nina miaka 24 kazini sitaki kusikia hiyo. Kwa elimu ya sasa hivi ilivyochakachuliwa ukipata chini ya credit hufai kwa kozi yoyote.na kama kuna kozi watakukaribisha kazini utakuwa mbabaishaji mbaya!

We mwenyewe ulifeli ndomana ukawa mwalimu so acheni kuwananga madogo
 
Umesoma SAUT na bado unasumbua watu namna hiyo je ungeipata hiyo GPA Udsm si ndo tungekufa humu ndani, mtu kuomba ushauri we badala ya kumshauri unaleta habari zako za SAUT na GPA uchwara! Peleka kule kule KI-GPA chako..... hupendi walofeli waende ualimu we umekuwa wizara au ndo waziri wa wizara husika.. Toa ushauri sio kumkatisha mtu tamaa, we mwenye hukufaulu vizur ndomana ukaenda SAUT ungefaulu vizur ungetuletea GPA ya mlimani sio ya chuo cha kata hicho
Umegonga penyewe boss, lenyewe lilikuwa na three ndo likabahatika kupelekwa huko SAUT now linaanza kuwakatisha tamaa madogo.
 
Kwa yeyote anaejua, Naomba msaada wa kufahamu vyuo vya private vinachukua hadi GPA ya ngapi kwa wale wenye PASS ? Maana yake ni kwamba.

GPA ya mwisho kuchkuliwa kwa vyuo vya private na ngapi ?
Kuna vitu kibao vya kusomea tofaut na ualimu
 
Back
Top Bottom