Nyie mmesoma vyuo gani? Utashangaa Vyuo vyenu viko nafasi ya 134 Africa. Sijui kwanini mnapenda hizi ligi za vyuo? Sisi ambao hatujafika Vyuo vikuu tusemeje sasa?
Kwa kweli UDSM hakuna cha kujisifia, kimebaki jina tu... In terms of learning environment, quality research output etc bado sana. Hata kwa East Africa ukilinganisha na vyuo vya the same size eg University of Nairobi, Makerere University etc, still hakiwezi kika-compete nao.
Nakumbuka a few years back kilishindwa na MUHAS, interms of science research output. MUHAS ndo kikawa kinaongoza kwa Tz. Yaani chuo ambacho wamekizaa wao wenyewe kimewashinda. Kwa hiyo wajipange...
Sijui kumetokea nini! Hiki chuo kilikuwa miongoni mwa vyuo bora kabisa Afrika. Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, kuna wakati kiliwahi kuwa cha tatu Afrika nyuma ya University of Capetown na kile cha Misri.
Sisi kila kitu tunakwenda kwa kurudi nyuma.
Kuna wakati tulikuwa juu katika demokrasia, viwanda, uwekezaji, n.k. Sasa ni hohe hahe. Kila kitu tunarudi nyuma.
Failure of the institution is failure of the management. Failure of a nation is failure of leadership.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.