Hapana mkuu haiwezekani. Pamoja na hivyo lazima combination ibalanceHapo ata ukiamua kuwa school candidate vigezo unavyo, c 3 zimekubeba
vigezo ni c3 sii lazima combi ibalance,Labda ukarisit tu ndalichako ni mtu hatari sana so kuwa makini usije kupoteza muda wako ukaja kunyimwa kupiga paper advance
Acha kupotosha jamii.kama una c tatu na kwenye combination una FFD utasoma shule gani.vigezo ni c3 sii lazima combi ibalance,
WEWE NDIYO HUJUI!! ILI KUJIONA ULIVYO HUJUI NENDA BAMAGA HEADQUARTER YA NECTA THEN FIKA MAPOKEZI ULIZA NA UTAPEWA SIMU UONGEE NA MHUDUMU ATAKUTOA TONGOTONGOAcha kupotosha jamii.kama una c tatu na kwenye combination una FFD utasoma shule gani.
Sawa ndalichako wa jamii forum.WEWE NDIYO HUJUI!! ILI KUJIONA ULIVYO HUJUI NENDA BAMAGA HEADQUARTER YA NECTA THEN FIKA MAPOKEZI ULIZA NA UTAPEWA SIMU UONGEE NA MHUDUMU ATAKUTOA TONGOTONGO
[HASHTAG]#UsidanganyeWatu[/HASHTAG]
Assume civics-C, history-c, geography-F, English-F, kiswahili-F, biology-C na mathematics-F. Hapo ana C3 aya tuambie atasoma combination gani ndalichako wa jf?WEWE NDIYO HUJUI!! ILI KUJIONA ULIVYO HUJUI NENDA BAMAGA HEADQUARTER YA NECTA THEN FIKA MAPOKEZI ULIZA NA UTAPEWA SIMU UONGEE NA MHUDUMU ATAKUTOA TONGOTONGO
[HASHTAG]#UsidanganyeWatu[/HASHTAG]