Kumbukumbu ya kifo cha Malcolm X

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
314
553
Leo katika Historia...
Siku ya tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1965 Ni siku aliyeuawa mwanaharakati Mashuhuri duniani wa kupigania haki za watu weusi(akina sisi).. Malcolm X, kwa kupigwa risasi 15-17 kifuani....

Andika chochote unachojua kuhusu huyu jamaa..
 
Na akaukana kabisa msemo wa kama huwezi kupambana nao, basi ungana nao, yeye alisema atayasema kweli kwa namna yoyote ile iliyokuwa inamaana,
 
Na akaukana kabisa msemo wa kama huwezi kupambana nao, basi ungana nao, yeye alisema atayasema kweli kwa namna yoyote ile iliyokuwa inamaana,

inaonesha mkuu upo vzr ktk historia ya huyu jamaa(Malcolm Little).
itakuwa vyema ukitupa madini japo kwa uchache
 
Back
Top Bottom