Eti CPA ni ngumu kuliko MBA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti CPA ni ngumu kuliko MBA?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ulimakafu, Dec 20, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa huwa wanadai kuwa CPA inabana vibaya na vijana wanalia,wakati MBA mambo ni laini kabisa.Binafsi sina hoja maana ninavyofahamu moja ni professional na nyingine ni academics zaidi.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Professional always huwa inakuwa ngumu zaidi! MBA kwa sasa haina maana tena hapa Bongo. Mpaka mtu mwenye Advanced diploma anaweza kuisoma wakati miaka yetu ilikuwa mtu mwenye Advanced diploma haqualify otherwise awe na Post!
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  MBA unasoma somo moja moja unafanya kozi na baadaye open book examination; chance ya kufauli ni zaidi ya 60% kwa sababu hata hiyo course work ni group work ambapo kichwa kimoja kinaweza kubeba zaidi malofa watano na kuwafaulisha. Tatizo za hizi MBA wakiwa kazini wao ni mabingwa wa kuajiri "Consultants" kuja kuwafanyia kazi ambazo kwa MBA zao wanatakiwa wawe na uwezo wa kufanya mfano kuandika "Corporate five years strategic plan, expansion funding proposals" etc.

  Serikali na mashirika yake wanathamini sana MBA wakiamini wamesomea uongozi lakini mashirika mengi pamoja na kuwa na MBA wengi hata kuzishauri bodi zao namna ya "set up" ya audit committee hawawezi.

  Kwa mtizamo wangu, wengi wanaopata/tafuta MBA ni kwa ajili ya kulinda post zao (head of departments) na wala si kuongeza tija sehemu zao za kazi.

  Kwa upande wa CPA ugumu unatokana na mfumo wa kutaini ambao ufauli unategemea 100% kufauli "closed door examination"
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  Very good analysis mkuu! Closed examination kwa professional ni nzuri na inatumika na bodi za uhasibu sehemu nyingi duniani hasa dunia ya kwanza tuliko copy hii system kasoro kwa mfano India ambao Chartered Accountant (CA) yao ipo ki academic zaidi! Lakini mfumo wa kutaini lazima upitiwe na kukubalika na tume maalum ya elimu iliyo chini ya Shirikisho la kimataifa la wahasibu (IFAC) lilopo huko New york hivyo ni mfumo unaokubalika kutoa wataalamu bora wa uhasibu.NBAA wapo chini ya hao IFAC na sheria zao ndio muongozo wetu sasa (IFRS,ISAs,IAS,IPSAs etc).
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Na Mzumbe University ndio walioharibu,UDSM mpaka sasa hawakubali ukiwa na Adv.Dip kupiga masters.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Nami nakuunga mkono mkuu.
   
 7. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Professional will remain professional, hata hao walimu wanaofundisha MBA wengi wao hawana CPA na hawako tayari sana kufanya mitihani hiyo kwa sababu wanajua wakifanya chance ya kufaulu ni ndogo au hakuna kabisa. Angalia watu wenye masters leo ni wengi sana lakini wenye CPA bado ni wa kuhesabu japokuwa mitihani ya kuqualify inafanyika mara mbili kila mwaka, lakini pia hata kwenye soko la kazi wenye CPA wako juu sana.
   
 8. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani mwenye Advanced Diploma hawezi kuwa na CPA? Mbona wengine wana CPA na walimaliza Form Four tu?
   
 9. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hii ni kweli kabisa kuna waliomaliza FFF --> Form Four Failure vijijini na wana CPA zao wengi tu....
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  inashangaza sana mnappoisifia hiyo CPA kuwa ni professional, Professional.... Juzi tume-interview mtu ana CPA hajui hata kutengeneza payroll? tukampa afanye project analysis hawezi? tatizo la tanzania ni mfumo mbovu pande zote si NBAA wala si vyuo vyetu vyote ni hovyo vipo kimasilahi zaidi.....NBAA ilitakiwa mtu afanye mitihani akiwa na experience ya kazi walau two years ili ajue displine ya Uhasibu lakini leo hii mtu anatoka na Advanced diploma yake ama B.com anafanya Module E anafauru maana masomo ni yaleyale ya chuoni na anamalizia na module F napo ni yaleyale...ukimleta ofisini hajui kazi anajua calculation za NBAA tu....wasomi wetu ukiwaleta kazini hawana tofauti na wasio na hizo qualification. tena ni bora ukamchukua mtu wa form four then ukamtrain mwenyewe kuliko kuchukua mtu wa chuoni kwanza hata kiingereza hawajui vizuri wanajing'atang'ata tu.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  CPA ni habari nyingiine jamani
   
 12. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ADCA ya IDM Mzumbe (Enzi zile) ilikuwa kali kuliko CPA!
   
 13. K

  Kikomelo Senior Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Haiwezi kuwa na haitakuja kuwa! ADCA ilikuwa na course work lakini CPA haina! Jamani CPA ni kitu kingine. Vyuoni tunapelekwa tu inategemea na mwalimu alivyo. Lakini ukiona mtu ana CPA jua kuwa yuko competent hasa kwenye masomo ya uhasibu.
  Ukiwa chuo unakuwa unajibu mtihani wa mwalimu wako ambaye ndo amekufundisha0 kwa maana hiyo degree ni ya chuo, lakini CPA inapima standard ya vitu ambavyo kila mhasibu ni lazima avijue, ndo mana unasoma unakokujua na mtihani unatungwa uko NBAA. pass mark ni 40 lakini kuipata ni kasheshe! silabasi ni kubwa mno na inabidi ujue kila kitu maan huwezi jua mtihani utatoka wapi!
  CPA ndo shule peke niliyowahi kuiona maishani mwangu kuwa ni ngumu sana! unasoma weeee lakini kikitungwa kitu unajiona mdogo kama pipi!
  Ndugu zangu tusiibeze CPA, ile ni bad news. tangu 1975 NBAA ilivyoanzishwa hadi leo wametoa CPA 3608 tu! ukiweka walikwisha kufa, kusataafu8a ambao wako nje ya nchi!
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  Si kweli mkuu! Mtaala wa bodi unafata sheria za IFAC na toka zamani huwezi kufanya hata ATEC 1 bila kuwa na credit 5(sio pass) tena kwenye credit lazima hesabu na English ziwemo! Hata wanaoanzia ATEC II ni form six wenye sifa za kujiunga university! Lakini pia NBAA inatoa exemption kulingana na coverage yako ya professional subjects ktk uhasibu ndio maana Adv.diploma na B.com za uhasibu wana exempt. sawa
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndio maana unapomaliza tu CPA unaangukia category ya graduate na unapewa cheti cha kumaliza mitihani tu(Certificate of completion of CPA Exams) then cheti chenye cha CPA ni baada ya kufanya kazi miaka mitatu chini ya CPA aliyesajiliwa na ndie atakaye dhibitisha with evidence kama unastahili kupewa cheti cha CPA-PP au CPA tu! Huyo atakuwa graduate wa chuo aliunganisha na CPA na bado hajasajiliwa kama nilivyosema hivyo anahitaji experience(kumbuka after professional exams atakuwa na upeo wa kutosha kuliko mtu aliyemaliza chuo tu).ndio maana bodi inatoa miongozo unapotaka kuajiri mhasibu wa elimu gani na aliyesajiliwa atakufaa kwa nature ya kazi yako na nakuhakikishia CPA graduates wakimaliza miaka 3 ya experience kwa kufuata muongozo wa NBAA huwa the best with exemption to few cases!
   
 16. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
   
 17. K

  Kikomelo Senior Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Watu hata hawajui walisemalo, wanalopoka tu! kuwa na data za kweli! huwezi kuwa umefel form four ukawa na CPA! ili mwanafunzi akubaliwe kuanza kufanya mitihani ya NBAA ni lazima awe na sifa zinazomruhusu kuendelea na masomo kwenye vyuo vya umma!

  Na kwani hiyo MBA mbona watu waliofel form four wanaipata? mtu kapiga four ya 26, anaingia cheti pale IFM au TIA then anapiga diploma na baadae anaunga degree, akitoka hapo anaenda wapi? si anapiga Hiyo MBA?

  Hata board kuko hivyo hvyo, unaanzia foundation stage, then unakuja intermidiate stage, badae ndo unaingia final stage! mtu aliyepita NBAA route kuanzia foundation stage anasoma vipindi vyote vya uhasibu sawa na mtu alisoma degree. na kutokana na ubora wa shule ya NBAA nadiriki kusema kuwa mtu alipita NBAA anakuwa ni mzuri kuliko mtu anayepita katika chuo chochote hapa tanzania! mnaoikandia CPA mnaiogopa na mnaujua mziki wake. Ila kama hauna CPA, una ka degree na MBA jua kuwa wewe si accountant bali ni bookkeeper.
   
 18. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
   
 19. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MBA za Tanzania kweli huwezi linganisha na CPA. CPA ni kitu nyingine. Je tunaweza kulinganisha CPA na ACCA?
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kama Tanzania umewahi kuona report ya hesabu zilizokaguliwa yenye "Pass through revenue, Gilt, Treasury shares" unaweza kulinganisha CPA na ACCA. CPA inakizi mahitaji ya Uhasibu rahisi uliopo Tanzania ukilinganisha na nchi zilizoendelea.
   
Loading...